Utoto Sema mwanzo wakijaa wakiristo wakawa wanajifaraguaHili jukwaa limejaa utoto mwingi sana siku hizi. No reasoning at all.
wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.Kumbe wagalatia hua wanadhani kua waisrael "Jews'' ni wakristo?
Kabisa. Kwanza hiyo UNO inayosemwa na mtoa mada ni kitu gani?Hili jukwaa limejaa utoto mwingi sana siku hizi. No reasoning at all.
Exactly hawa jamaa wanatabia ya uongo na kutunga vitu on their favour, mungu ni wa woteMimi ni mkristo, ila sijawai kuwa na aina ya mawazo kama wengine khs Israel, naona ni taifa kama taifa tu kama Tz tu...mambo ya Taifa teule nimekataa kabisa...Mungu ni wa wote wamfuatao.
Halafu eti israel inamshutumu na kutaka ajiuzulu wakati kawapa ukweli wao, hata paka ukimfungia chumbani ili umuue lazima apambane hutomuua kizembe it will fight backKatika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Sasa wewe mkiristo wa JF unaecoments upuuzi na kuipendelea Israel umetoa wapi roho mbaya hiYo?
Vipi wapagani wanaobusu Black Stone Mecca huku wakiamini Jiwe linasamehe dhambi wakiliguza, Arabs na weusi wanaaminiwa ni watumwa hadi leo hii..Kumbe wagalatia hua wanadhani kua waisrael "Jews'' ni wakristo?
Hizo story za kijiweni hamas wanapambania ardhi yao na si magaidi hata secretary general wa united nations anawaunga mkono na viongozi wengi wa ulaya akiwemo jeremy corbin, hamas hawatapigana kama haki itapatikana na israel akaheshimu mipaka, hata mandela alikuwa akiitwa gaidi na marekani na magharibi kisa tu kupigania kwake hakiVipi wapagani wanaobusu Black Stone Mecca huku wakiamini Jiwe linasamehe dhambi wakiliguza, Arabs na weusi wanaaminiwa ni watumwa hadi leo hii..
Muslim wengi linapokuja suala la Dini IQ zao zinashuka chini kabisa...
Stuka Israel ni watoto 12 ya Yakobo mtoto aliyeitwa Judas ndio Kabila la Jews
katika kabila la Judah kuna waliochagua dini kwa wanavyoamini wao so kuna christian hadi RC Wapo kuna Orthodox Jews, Kuna Muslims pia na kuna pagan pia tunaamini kuwa freewill sio kama Muslim kila kitu mmepangiwa na Allah even Mkifanya Dhambi niAllah ndie aliyepanga sohata Ugaidi wa Gaza ni Allah aliyepanga ndio maana kawapanga arabs from Gaza kusema Allah Akbar wanapoua Waisrael na Non Muslims.
Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah Jesus...
Usiwe kama yale Majinga yanayosema Yesu hakuwa Mkristo wakati ndio mkristo bali mafundisho yake good news wanaofuata ndio wanaitwa hivyo ni sawa na kusema Allah ni Muislam?
Ina maana hadi leo hujui UNOKabisa. Kwanza hiyo UNO inayosemwa na mtoa mada ni kitu gani?
Makomandoo wa Israel waue huyo ngedere kama kweli kasema hivyoKatika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Wafilisti ndugu wa goliathi Hilo taifa la Israel mlishalishindwa toka nyakati za kina Samson na goliathi. Endeleeni nalo uzuri wa Hilo taifa ua nikuue basi. Kata mkono mmoja anakata miwili. Kwahiyo roketi zikirushwa wafilisti wanajua jamaa lazima walipize ndiyo asili yao. Wana usemi wao wanasema sisi Ni taifa la vita toka utoto wetu.wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
Safi kabisa ,wapagani wa kiyahudi wapelekeeni moto hao magaidiPale ambapo wakristo wa tandale wanawashobokea jews,hao waisrael hawataki hata kuskia kuhusu ukristo.