Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Shangaa na wewe, wanadhani kila mtu ni bongo movieAiisee hii dunia inashidaa, kwahi
yo ulitaka awe anatembea na vyombo vya habari na kujitanga
za anafanya nini kama hao
Wasanii wenu wanaoigiza kufa
nya ziara za ghafla huku wakitaa
rifu vyombo vya habari kwa siri
Ili wakauze sura?
Sisi katibu wetu tunamuelewa na
Ndo mana tumeshinda umeya Jiji la Dar kwa staili hii hii sasa
Makerere ya kazi gain?
Hiii ni staili ya kimya kimya aa
UKu kwetu uzalamoni tuna msemo Kimya kingi kina mshindo mkuutide and time wait no body
Ukimya mwingine unapaswa kutiliwa shaka,ukiamka asubuhi ukakuta jirani yako hata ni mgeni mtaani muda umesonga lakini mlango umefungwa na ndani kupo kimya,mgongee ikilazimu vunja huenda amepatwa na dhara,bwana kashinje anaonekana huku kwenye siasa kavamiaUKu kwetu uzalamoni tuna msemo Kimya kingi kina mshindo mkuu
Twambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?Wakuu salaam,
Ni muda Mrefu sasa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Mashinji achaguliwe hajaonekana hadharani ama kwenye vyombo vya habari akitekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kama alivyoahidi baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa baraza la Chadema huko Mwanza. Je ni nini kimempata kiongozi huyu mkubwa aliyepambwa kuvaa viatu vya Dr Slaa. Wenye taarifa za utendaji kazi wake ndani ya chama watujuze.
Kinana pia yuko kimya. Ila kwa Dr Mashinji hakupaswa kabisa kunyamaza kipindi hiki ukizingatia neo ameingia tu madarakani.Twambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?
chadomo wakabisha sana ila sasa wanashuhudia.Tuliwahi kusema humu kuwa huyu ni garasa
Kinana huwezi mfananisha na huyo kapuku wenu MashinjiTwambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?
Bila shaka Dr Mashinji atakuwa anaendelea na program za chama ndani ya ofisi. Naamini siku akiibuka itakuwa ni mtikisiko nchi kusimama.
Naona kiswahili kwako ni tatizo,nimekwambia twambie kinana yuko wapi?Kinana huwezi mfananisha na huyo kapuku wenu Mashinji