Inafanya vizuri Sana hii corona. Ipige na yule mwenye mhimili ulijichimbia Sana pamoja na subwooferSasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
Inafanya vizuri Sana hii corona. Ipige na yule mwenye mhimili ulijichimbia Sana pamoja na subwooferSasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
Poleni familia, Wahamasishe watu wachukue tahadhari sana. Wanaotaka kujifungia wajifungie, wengine tahadhari kubwa.
Rais kubali Chanjo za Pfizer zitapunguza vifo.
Hospitalization.
Kuna mtu naomba apate corona alazwe wiki 2 lakini apone ashike adabu.
Bado hadi akiguswa ndo ataweka msimamo mzuriNchi ipo kwenye crisis, handling ya Corona inatupeleka pabaya mno.
Vedasto msungu wa itv pia kafa leo
Asee ipunguze punguze hao wajuu kwanza kabla ya kufika kwetu wanyonge.
Meko kashapiga chanjo long time ndio maana hana wasiwasi wowote.Utasababisha Mzee wa watu akeshe akijifukiza, nina hakika maabara ya mabibo inafanya kazi kubwa kwa kupima wote wanaoishi ikulu kila siku
Jichunge weweAisee nikiangalia idadi ya misiba nnayokutana nayo wiki mbili hizi
siyo hali ya kawaida
Something is not right somewhere
Who caresItaeleweka tu.... ni wakati sasa wa kuchukulia serious.........
HakikaHakuna Corona
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.