Katibu Mkuu Dk. Slaa atoa pole Msikiti wa Mtambani, ajionea athari

Tunamshukuru sana dr slaa kwa kuwatembelea wenzetu waliopata janga kubwa sana , MUNGU AMLIPE kwa wema wake .

Hivi ndo vitu nimekuwa nikisema mara kwa mara KUGUSA NYOYO ZA WAISLAM NI VERY SIMPLE... MARA NYINGI NIMESEMA PROF SAFARI NDO MTAJI WA CDM KWA WAISLAM... ONA SASA YAANI KUFIKA TU MTAMBANI I SWEAR WENGI TUMEFURAHI.. HA HIO NDO SIASA,,, SASA AKINA YERICKO SIJUI WANAJISIKIAJE LEO.. UKIWA KIONGOZI KUWA MAKINI SANA NA WAPAMBE.... UONGOZI NI UZAZI.. UKIONA MZAZI ANABAGUA WANAE UJUE HUYO UZAZI UNAMSHINDA... NA KWA HAPO MTAMBANI SLAA AMEGONGA MAHALA PALE .. HAPO NDO KWENYE ROHO YA VIJANA WA KIISLAM. LEO ROHO YANGU KWATU
 
Kwa mara ya kwanza naomba kupongeza maamuzi sahihi ya Slaa kwa kuungana katika maafa yaliyo wakuta vijana na waislaam kwa ujumla.

Nalaani viongozi wa Serikali na ccm kwa kudhihirisha chuki yao dhidi ya waislaam,inapotokea maafa yakalikuta kanisa utawaona viongozi wa serikali ya ccm wanahaha na kukamata watu hivyo bila hata kuwa na hatia,pia nakumbuka hawa jamaa wakiahirisha shughuli za serikali na serikali nzima kuhamia eneo la tukio lkn katika maafa ya waislaam ,huachwa kama yatima bila kiongozi yeyote kujali,

Naiona damu ikimwagika endapo hawa Interahamwe hawakuondolewa madarakani.
 
kiukweli huyu dr slaa ni kiongozi halisi , asante MUNGU KWA KUMFANYA DR SLAA RAIA WA NCHI HII .
 
uo msikiti inawezekana ukawa ni chadema damu kama lilivyo kanisa la yule mwanamke wa mikocheni B ambalo ni ccm damu damu siku hilo kanisa nalo likiungua kikwete atakua mtu wa kwanza kwenda kutoa pore
 
Rais wenu yuko anakenua meno USA wala hajui kama kuna shida kwake! Bravo our next president
 
Yawezekana maccm ndio yamefanya hujuma, tunaomba uchunguzi huru ufanyike.

Msikiti wa Mbambani una histotia yake ya mapinduz kwa waislam na ni waumini wanaojitambua.

Daima huwa hawaprlekeshwi na maccm kama BAKWATA.

pia mkuu, msikiti upo katibu sana naa makao makuu ya CHADEMA.

Naomba CHADEMA, ianzishe harambe "Jenga Msikiti okoa Elimu" Tupo tayari kuchangia.

Waratibu kwa njia za online donations ,

Dr. Slaa asante... maana maccm hayana huruma hata na wanafunzi

Umenena Itakiwavyo Kamanda,

Naamini hiki ndicho Dr Slaa anampango nacho. Dr Slaa anapenda sana ELIMU ili watu waelimike hivyo kikwazo chochote cha kukwaza elimu kama kimo ndani ya uwezo wake naamini kitatatuliwa

Na kwautaratibu wa kuchangisha naamini Msikiti na Madarasa ya Seminari ya Msikiti huo vitajengwa ndani ya muda mfupi sana, Watu wanamapenzi makubwa sana kwa Chadema hivyo lolote litakalo ombwa na Cdm hakika litatimizwa.......Mia

BACK TANGANYIKA
 
Rais wenu yuko anakenua meno USA wala hajui kama kuna shida kwake! Bravo our next president

Hebu twambieni Slaa ametoa nini kusaidia kurudisha vilivyo potea? au kaenda kuuza sura? au ana tafuta umaarufu kama kawaida yake maana ameshuka hadi Yericko Nyerere alishasema.
Vijana wa bavicha wengi ni wanafiki hapa wanajidai wema....
 
Last edited by a moderator:
Suala la hao watoto wanafunzi ni muhimu kuliko yote maana tukio hili la moto wa siku moja linaweza kuwafanya wanafunzi hao kupoteza matarajio yao yote ya kimaisha na kuathiri mchango wangu kwa Taifa. Taifa hili ili liendelee linahitaji mchango wa kila moja.Haya ndiyo mambo yanahitaji michango ya kila mmoja kupunguza uzito wa janga.

Tunamshukuru sana dr slaa kwa kuwatembelea wenzetu waliopata janga kubwa sana , MUNGU AMLIPE kwa wema wake .
 
Hebu twambieni Slaa ametoa nini kusaidia kurudisha vilivyo potea? au kaenda kuuza sura? au ana tafuta umaarufu kama kawaida yake maana ameshuka hadi Yericko Nyerere alishasema.
Vijana wa bavicha wengi ni wanafiki hapa wanajidai wema....

"mpumbavu hushupaza shingo yake na hataki kueleweshwa" prof kabudi
 
Last edited by a moderator:
Hebu twambieni Slaa ametoa nini kusaidia kurudisha vilivyo potea? au kaenda kuuza sura? au ana tafuta umaarufu kama kawaida yake maana ameshuka hadi Yericko Nyerere alishasema.
Vijana wa bavicha wengi ni wanafiki hapa wanajidai wema....
Wewe Jamaa nilishakuambia ni mpu-mbavu tena poyoyo uliyejisahau tena mapenzi yako kwa zitto lazima yatakusababishia madhara makubwa sana
 
Hebu twambieni Slaa ametoa nini kusaidia kurudisha vilivyo potea? au kaenda kuuza sura? au ana tafuta umaarufu kama kawaida yake maana ameshuka hadi Yericko Nyerere alishasema.
Vijana wa bavicha wengi ni wanafiki hapa wanajidai wema....

acha kutowa mapovu! kibarua chako 2015 kinaisha!! Acha dr Slaa afanye majukumu yake.
 
Last edited by a moderator:
acha kutowa mapovu! kibarua chako 2015 kinaisha!! Acha dr Slaa afanye majukumu yake.

Majukumu gani? Kwenda kupiga picha kwenye majengo yaliyoungua ili aonekane anawajali waislamu? Bora angebaki zake ufipa tu. Aendelee kusinzia ofisini kama kawaida yake.
 
Pale Mtambani sio mbali na Mtaa wa Ufipa, heko Dr. na cdm kwa kuendeleza ujirani mwema.
 
Back
Top Bottom