Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

No no no and no again!!! Hukumuelewa Dr alichosema na hukuelewa vyema sababu za kauli yake kwa kuwa taratibu za bunge uzielewi vyema.

Nakuomba umuombe radhi Dr. Slaa na wapenzi wake wote pili uzisikilize kauli zake vyema!!!

dr tusikubali kuingizwa mkenge na magamba, wao wanajua bajeti hii ni bomu na pingamizi kubwa litatoka CDM, ziara za mikoani mojawapo ya ajenda kuu ilikuwa ni kuipinga bajeti hii kama itaonesha dalili za kumwelemea mwananchi wa chini sasa tusipoingia bungeni na bajeti ikapitishwa na magamba & co kama ilivyo mtakuwa mmewasaidia nini wananchi.

KWA MARA YA KWANZA NAPINGANA VIKALI NA KAULI YA DR
 
We umesoma barua ya Lissu basi unaiona ndio kama alivyoiandika? isome vizuri, kuna seheme na wakati wa kulindwa na sheria za ubunge sio kila wakati na kila pahala. Lissu mwenyewe alishafikishwa polisi akiwa Dodoma bunge lililopita. Kivuli cha ubunge kisiwafanye kina Mbowe kukaidi sheria za mahakama, hawako juu ya sheria. Na hao waliomshika wanazijuwa sheria vile vile.

Mimi sijasema kama wabunge wako juu ya sheria, bunge hilo hilo ndilo linatunga sheria likiamini hizo sheria zita-apply kwa kila mtu. Hakuna sheria za bunge ambazo zinawahusu CCM peke yao. Kigezo cha kusema kuwa Lissu alikamatwa akiwa Dodoma, anaweza kukamatwa akiwa popote pale Tanzania lakini taratibu za kibunge zifuatwe and not DOUBLE-STANDARD.
 
Hili tamko ni muafaka. Tumewavumilia vyakutosha. Wangejaribu kumkatalia dhamana akae ndani waone waone cha moto .
 
Tafadhalini wabunge wa CDM mkiwa ni wakilishi wa wananchi tunawategemea kikao cha bajeti 2011/12 muwe makini na wahudhuriaji wazuri pasipo kufuata MTINDO wenu wa KUSUSIA BUNGE. Hiki kikao ni muhimu sana, mtangulize TZ KWANZA, muwe wawakilishi wa wa wananchi ili kuinua hali ya maisha ya WATZ. Muondoe tofautiya kiitikadi na kisera, sote ni watz.

HIvyo muhudhurie vikao vyote ili muchangie hotuba ya bajeti kwa manufaa ya wapiga kura wenu. Muachane na tabia yenu ya kutoka nje ya vikao kwani inawaharibia TASWIRA yenu mbele ya watz.

Pia nawaomba MTIMIZE AHADI KWA PENDEKEZO LENU KWA VITENDO LA KUTOPOKEA POSHO YA VIKAO ili muonyeshe njia kwa wabunge wa vyama vingine kuwa yawezekana kutopokea SITTING ALLOWANCE na maisha DODOMA yakawezekana.

Mwisho nawatakia ushirike mzuri wa vikao vya BUNGE!
 
Hapo kwenye red mimi ni Mtz lakini kwa mujibu wa maelezo yako katika paragraph hiyo mimi simo kwenye group lako,maana kutoka kwa wabunge wa chadema bungeni ni moja wapo ya kujenga taswira ya kuwawajibisha viongozi wanaotaka nchi iendeshwe kwa matakwa yao binafsi.So wabunge hawawezi kaa tu wakati hoja zao ambazo nia hasa ni kututetea wananchi zinatupwa chini ya kapeti,hilo halikubaliki mkuu.
 
Hivi Makinda kwanini hatoi tamko kukamatwa ovyo kwa wabunge wa chadema bila kibali cha spika,huku ni kukiuka taratibu za bunge kama sehemu ya serikali watetezi wa wananchi mnawakamata,mafisadi mnawachekea.ipo siku itakua TZ=misri au tunisia
 
Wabunge wa Chadema hakikisheni mnatumia Busara sana na punguzeni jazba katika utendaji wenu huku mkiweka maslahi ya Taifa lenu mbele na kufata ale matarajio ya wapiga kura wenu.

Huo ni ushauri wangu
 
CDM ndio mtetezi aliyebaki. Simamieni jambo hili. Watanzania tuwe macho na magamba ya CCM
 
Katibu wa chama cha Demokrasia Chaema bwana Willbrodi Slaa amesema wabunge wa Chadema hawataingia ktk vikao vya Bunge Kama Serikali haitomwachia mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Aikaeli Mbowe bila masharti yeyote magumu

Sourse ITV habari 8:00pm

haingii akili kabisa kauli hii ya Dr.Slaa,yaani mtu avunje sheria za nchi ,sheria ichukue mkondo wake then wanagoma kwenda kuwawakilisha wananchi waliochagua, hivi hawa kazi yao haswa nini,kuandamana kila siku au kuwakilisha wanachi na kutatua kero zao?
 
Back
Top Bottom