KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 94
- Thread starter
-
- #21
Chi ucheme kabicha "Ukikosoa sisiemu wewe chadema"
unadhani CHADEMA kuunganan na wenzao ndio firm decision yao ? maana in the course of 2 years, they made two different choices on one issue ! hawajatulia hata kidogo, na zile kauli za mbowe alizosema kuhusu wapinzani, zinanifanya niamini kwamba he might be a planted candidate as well.
i really can not afford to be here and say i trust CHADEMA under MBOWE because i simply dont trust them !
KadaMpinzani,
Kwa hakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba una hoja, hata kama wewe ni wa mrengo wa kijani na njano...
Tatizo hapa wale wa mrengo wa bluu, nyeupe, nyekundu na nyeusi kama sikosei wanaona ni dhambi chama chao kujadiliwa hapa... Laiti kama wangalijua kwamba vyama vinavyojadili hapa ni vile vyenye authority kubwa kwenye taifa hili, hivyo watanzania wanapenda wavijue vizuri, vijisahihishe basi wasingekuwa wanatoa maoni ya kiukinzani.
Wangejifunza, wangechuja, wangekubali pali walipokosea, wafanya mambo mazuri zaidi mbeleni.
Lau kama posti zao zitaendelea kuwa za mithili ya kina Asha Abdallah na wengine... bila kukemewa na WanaCHADEMA wenyewe... then CHADEMA inazama na Taifa linaendelea kuwa na demokrasia ya vyama vingi iliyokuwa na Tija kwa taifa.
KadaMpinzani,
Kwa hakika kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba una hoja, hata kama wewe ni wa mrengo wa kijani na njano...
Tatizo hapa wale wa mrengo wa bluu, nyeupe, nyekundu na nyeusi kama sikosei wanaona ni dhambi chama chao kujadiliwa hapa... Laiti kama wangalijua kwamba vyama vinavyojadili hapa ni vile vyenye authority kubwa kwenye taifa hili, hivyo watanzania wanapenda wavijue vizuri, vijisahihishe basi wasingekuwa wanatoa maoni ya kiukinzani.
Wangejifunza, wangechuja, wangekubali pale walipokosea, wafanya mambo mazuri zaidi mbeleni.
Lau kama posti zao zitaendelea kuwa za mithili ya kina Asha Abdallah na wengine... bila kukemewa na WanaCHADEMA wenyewe... then CHADEMA inazama na Taifa linaendelea kuwa na demokrasia ya vyama vingi iliyokuwa na Tija kwa taifa.
Nasema hivyo kwa kuwa hawa CHADEMA washabiki wasiopokosolewa na CHADEMA wenyewe basi wasomaji watachukulia huo ndio msimamo wa chama chao na hivyo watawadharau na kuwapuuza... hili kamwe halitakuwa jambo jema kwa CHADEMA na TAIFA.
Hoja ya KadaMpinzani inahitaji kujadili kwa mapama kwa manufaa ya Taifa, tena bila kejeli ya aina yoyote ile.
Maana Mambo mengi yametokea kuhusu CHADEMA tangu 1995... hadi sasa, Ikumbukwe kwamba Mtei alivyokataliwa kuwa Mgombea wa Urais 1995, akasema basi hakuna haja ya kuwa na Mgombea kwenye chama chao... Na CHADEMA pale ndipo ilipoanzia kuteleza... Ikimbukwe pia hakuna chama cha Upinzani kiliwahi kuaminika kama chama Halisi cha Upinzani na chenyewe uwezo wa Kuongoza nchi enzi hizo (1995) kama sio CHADEMA. Sera zilikuwa wazi, zinaeleweka, zinatekelezeka.
Na nitawakumbusha sera moja upande wa Elimu... ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ya 1995... ilisema wazi kwamba wangeanzisha chuo kikuu kipya kwa kutumia majengo yaliyojengwa kwa ajili ya Makoa makuu.... CCM imelifanya hili 10yrs after...
Ikimbukwe pia hakuna chama cha Upinzani kiliwahi kuaminika kama chama Halisi cha Upinzani na chenyewe uwezo wa Kuongoza nchi enzi hizo (1995) kama sio CHADEMA. Sera zilikuwa wazi, zinaeleweka, zinatekelezeka.
Na nitawakumbusha sera moja upande wa Elimu... ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ya 1995... ilisema wazi kwamba wangeanzisha chuo kikuu kipya kwa kutumia majengo yaliyojengwa kwa ajili ya Makoa makuu.... CCM imelifanya hili 10yrs after...
Asha Abdala,
Posti zako zinadhalilisha washabiki, wapenzi, wanachama na viongozi wa CHADEMA, unafanya watu waamini kwamba chama hicho ni cha mipasho... kama huna hoja nyamaza waseme wengine.
KadaMpinzani amekuja na nukuu kuonyesha kwa kiasi gani mwenzako alikuwa makini!
Zaidi ya hapo mama huko kwingine sikuwezi... by the way i hope uchakubangu wako unaishia kuandika hapa JF... kama na kwenye maisha ni hivyo mama punguza.
Basi Kesheshe wangu, usilie ukazua kasheshe.
Mi nakupenda lakini we umenishangaza kumtetea kada mpinzani ili hali ukisoma maneno yake unamjua vilivyo.
Mi kwenye hoja najitahidi kutoa hoja, hata hii ukisoma toka mwanzo kuna mahali nimetoa hoja.
Lakini watu wakileta vioja huwa nawaambia hapa ndio wamefika kwa Asha wa mipasho.
Sasa tuendelee na hoja jamani.
Umeona hoja ya Chacha Wangwe wa CHADEMA hapa:
http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=5110
Eti jamani wanaCHADEMA, ni nawaaibisha? Niambieni basi niache
Asha
KUNA MTU AMEWAHI KUGUSIA HILI.....IKITOKA POST ANT-CCM INABAKI HAPO ILIPO...IKITOKA ANT-CHADEMAMARA MOJA HUAMISHWA KUYUMBISHA MADA......IS JF CHADEMA ORIENTED....? ITS JUST A QUESTION....?aliyeihamisha hii ana matatizo gani aisee ? ahh, tushazoea lakini ! wenyewe watasema kwa nini wananchi wa kawaida tushinde katika kijiwe cha chadema !
Ting Ting,
Sio lazima mwenyekiti ndio agombee urais. Kwa mfano, mwaka 2005 NCCR-Mageuzi mgombea wake wa Urais alikuwa Dr.Sengondo Mvungi; hajawahi kuwa mwenyekiti wa chama hicho.
Kuhusu katiba, hebu tembelea www.nccrmageuzi.or.tz/
MwM;
Hapa umenivunja mbavu kwi! kwi! kwiiiii! kwiiiiiiiiii!.
tatizo sio kuwa post ya mwaka 2005, bali ni decision iliyofanywa mwaka 2005 na CHADEMA under MBOWE ! THATS WHAT MATTERS ! Na kama ningekuwa na access ya kupata article ya mwaka 1995 ambapo waliungana na CCR-MAGEUZI pia ningeiweka !
It matters a lot, switching sides, opinions and minds since 1995 ? that shows a lot kwamba CHADEMA HASNT YET MADE UP ITS MIND, AU HAWAJIAMINI, AU HAWAJUI WANACHOFANYA !
You cant tell me since 1995, they are still stuck up on one issue, halafu useme hii ni propaganda ! Propaganda ya nani na kwa nani ? I am a concerned Tanzanian citizen na ndio maana nataka kujua hali halisi na ukweli na mambo ndio maana nimetundika hizi article hapa tudiscuss different views za watu, lakini nashangaa wengine waliosikwa mikia na kuwa wafuasi wa CHADEMA wakilalama na kusema hii propaganda ! Propaganda katika kutafuta ukweli ? come on man, you know you are wrong !
CHADEMA sio chama makini, hadi leo kinajifunga kamba kwa kutojua kisimamishe mgombea au la, na last agreement waliyosema ni kwamba watasimamisha mgombea mmoja toka upinzani, now lets wait and see !
VYAMA MAKINI HAVIWI HIVI HATA SIKU MOJA, WAKIWA WANASWITCH SIDES KUANZIA KWENYE VYAMA, ITAKUWAJE WAKIINGIA SERIKALINI >>??<<
Na mnaposema suala hili ni la 1995 kwamba halina nafasi hapa mnakuwa hampo fair, post ngapi hapa ni za zamani ?? masuala ya epa ni ya mwaka gani ? acheni zenu bana, kama hamtaki kuchangia msije lakini hili suala linaongeleka kama kawaida ! ENDELEENI KUOGOPA VIVULI VYENU !
now let me dig in deep kufind out kama hivi vyama katiba zao zinafanana, if so BONGE LA PETITION mwanangu linakuja !