tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema:
Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake.
Kifungu kidogo cha (2) kinasema: Bila kuathiri sheria zinazohusika na kazi ya kutangaza dini na kueneza dini itakuwa huru na jambo la hiyari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kama hivyo ndivyo:
1. Kwa nini Waumini wa dini nyingine (wasio waislamu) huko Zanzibar kwanini wanalazimishwa kuwa na mfungo wa Ramadhan kinyume na imani zao?
2. Kwanini kiongozi wa serikali (SMZ) ahimize kwamba wale wote wataokwenda kinyume na matakwa ya mfungo atachukuliwa hatua za "KISHERIA?"
watu wengine kama hoja huna ni bora ukalale mapema kuliko kuleta mambo ya kashata na kahawa kwenye jukwaa la watu makini. Mleta hoja kaongelea point na zaidi ameonyesha ni kwa namna gani katiba ya Zanzibar imevunjwa. Wewe kwa uelewa wako mdogo wa hata kushindwa kutambua mada inayojadiliwa unaibuka na mambo ya CHADEMA. Kwa uelewa wako CHADEMA wanahusika vipi hapa wakati hata katika maandalizi ya hiyo Katiba ya Zanzibar hawakushirikishwa.Leo UKWELI umejidhihirisha CHADEMA wanasimamia MASLAHI ya nani!
Aisee, wacha kutaja kitimoto. Mauzo ya kitimoto yamepungua sana katika kipindi hiki cha mfungo. Yatarejea tena katika hali yake ya awali wakati wakati mfungo umeisha maana walaji waliofunga wataingia tena sokoni. Si kitimoto tu, hata sigara zimeathiriwa na huu mfungo.CDM na kanisa ni vigumu kuvitenganisha kama muislam na mckiti hilo swali kampe waziri wako mkuu pinda naona jibu analo hapa hutopata jibu mambo ya z'bar wachie wazanzibar wenyewe kama una njaa katafute kitimoto ule au kama unaumwa nenda kaombewe kwa mchungaji fulani pale kati
Wewe usiwe na akili kama mbuni. Hoja imetolewa na mbunge mchungaji wa CHADEMA, hivyo CHADEMA imedhihirisha inatetea maslahi ya kundi gani!
Point. mungu dikteta ni wa kuogopwa sana.Huo ndio Uislamu dini ya amani iliyotoka kwa Mungu, kila kitu ni JIHAD tu hakuna willingness ya mioyo ya watu.Ni mwendo wa amri amri kama vile uko Jeshini. Sijui ni Mungu gani anayeaangalia matendo ya kulazimisha au kulazimishwa na si utayari wa muhusika kutoka moyoni. Mimi kwa haya yanayofanywa na waislamu pamoja na viongozi wao naamini kutoka moyoni kwamba huyu Mungu wanayemtumikia ni Mungu wa pekee sana tofauti na Mungu wa Imani zingine.
CDM na kanisa ni vigumu kuvitenganisha kama muislam na mckiti hilo swali kampe waziri wako mkuu pinda naona jibu analo hapa hutopata jibu mambo ya z'bar wachie wazanzibar wenyewe kama una njaa katafute kitimoto ule au kama unaumwa nenda kaombewe kwa mchungaji fulani pale kati
Katiba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya mwaka 1984 (Toleo la 2010) katika Kifungu cha 19 (1) inasema:
Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake.
Kifungu kidogo cha (2) kinasema: Bila kuathiri sheria zinazohusika na kazi ya kutangaza dini na kueneza dini itakuwa huru na jambo la hiyari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kama hivyo ndivyo:
1. Kwa nini Waumini wa dini nyingine (wasio waislamu) huko Zanzibar kwanini wanalazimishwa kuwa na mfungo wa Ramadhan kinyume na imani zao?
2. Kwanini kiongozi wa serikali (SMZ) ahimize kwamba wale wote wataokwenda kinyume na matakwa ya mfungo atachukuliwa hatua za "KISHERIA?"
Umeamini sasa kama serikali ina dini ?