Katiba ya JF

Madame B, yaelekea hujatukanwa humu JF. Kuna mafundi wengi wa kutukana, ndo hao nimewalenga.

Hapo sawa kbs.
Tena na bango juu.
Ila humu CC sidhani kama kuna mafundi wa kutukana.
Labda kule majukwaa mengine.
 
Last edited by a moderator:
HIVI WANAZUNGUMZIA JF YOTE AMA JF Chit-Chat? KAMA NI IN CHIT CHAT TUPATIWE MUDA WA WIKI KUWA KIONGOZI JUST LIKE BBA, IN GENERAL WAPEWA BAN WAPEWE MUDA WA KUJIELEZA NA WAPEWE ONYO. WAPIGWE BAN WANAOTOA MATUSI KWA KUMLENGA MTU BADALA YA KUJADILI MADA.
 
Back
Top Bottom