Katiba ya JF

Katiba ya JF

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
ukiwa kama mwana JF hebu chukulia JF tunataka kutengeneza katiba yetu, ni jambo gani ungependa liwepo na jambo gani lisiwepo? Karibuni mtoe mawazo yenu'...
 
Ningependa Isiwepo katiba.
 
Kama isipokuwepo BAN basi jukwaa la siasa litangazwe kuwa ni war zone!

ha ha ha haaaah!! Naomba japo siku moja watangaze hakuna BAN, utaona namna watu watakavyopigana na keyboard zao hasa wale wa jukwaa la siasa.
 
Ningependa Isiwepo katiba.

Babu kwa mimi i'll be agree the constitution , with my first agenda i start to abolish the practice of having more than one spouse at a sametime (Polygamy!) ungen'taka !
 
ha ha ha haaaah!! Naomba japo siku moja watangaze hakuna BAN, utaona namna watu watakavyopigana na keyboard zao hasa wale wa jukwaa la siasa.

Yaani lile jukwaa kuna stress balaa, siku waseme hakuna BAN,itakuwa balaa
 
Babu kwa mimi i'll be agree the constitution , with my first agenda i start to abolish the practice of having more than one spouse at a sametime (Polygamy!) ungen'taka !
Ndo maana nasema napinga hoja! Katiba ya nini bana? Kuwekeana uzibe tu hapa!
 
Babu kwa mimi i'll be agree the constitution , with my first agenda i start to abolish the practice of having more than one spouse at a sametime (Polygamy!) ungen'taka !

duuh!! Kweli ya kaisari mwachie kaisari
 
Babu kwa mimi i'll be agree the constitution , with my first agenda i start to abolish the practice of having more than one spouse at a sametime (Polygamy!) ungen'taka !

jg my shem naona unamtafuta babu @Aspirin
 
ukiwa kama mwana JF hebu chukulia JF tunataka kutengeneza katiba yetu, ni jambo gani ungependa liwepo na jambo gani lisiwepo? Karibuni mtoe mawazo yenu'...

ningependa kuwepo na mahakama ya jf,ambapo mtu utakiwa kushtakiwa huko kwenda kujieleza na kujitetea kabla ya hukumu ya BAN
 
Ningependa kipengele kifuatacho kiwekwe kwenye katiba ya JF:
1. Mwana JF akifikisha posts 2,000 bila kuwa na historia ya kupewa Ban, anakuwa automatic moderator wa JF.
2. WanaJF wawili (me&mke) walioamua kuwa marafiki hapa JF wapewe heshima ya husband and wife na wasibughudhiwe kwa namna yoyote ile. Bughdha ni maneno ya kejeli, kashfa, mzaha, utani nk.
3. Neno 'kilaza' lisitumike kuzungumzia post ya mtu hapa JF.
4. Ban ni muhimu iendelee kuwepo.
5. Mvunja katiba apewe ban ya miezi sita.
 
katiba ya sasa hata siielewi vizuri yaani nashindwa hata cha kuchangia
 
Ningependa kipengele kifuatacho kiwekwe kwenye katiba ya JF:
1. Mwana JF akifikisha posts 2,000 bila kuwa na historia ya kupewa Ban, anakuwa automatic moderator wa JF.
2. WanaJF wawili (me&mke) walioamua kuwa marafiki hapa JF wapewe heshima ya husband and wife na wasibughudhiwe kwa namna yoyote ile. Bughdha ni maneno ya kejeli, kashfa, mzaha, utani nk.
3. Neno 'kilaza' lisitumike kuzungumzia post ya mtu hapa JF.
4. Ban ni muhimu iendelee kuwepo.
5. Mvunja katiba apewe ban ya miezi sita.

Acha Masikhara HYGEIA,
Uhai wa mtu huo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom