KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
20210112_101521_0000.png


Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao.

Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa kutekeleza jukumu la Kuwajibika kwa watu wake.
 
Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa kutekeleza jukumu la Kuwajibika kwa watu wake
Asante kwa mada murua.

Ndugu mleta mada ningependa kujua huo ukomo ni upi uliowekwa na mahakama. Na nikatika mazingira yapi, serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajiba kwa wananchi.

Natanguliza shukrani.
 
Serekali isipowajibika haina haja ya kushtakiwa mahakamani,ni kuitoa madarakani kwa nguvu ya umma kama ilivyotokea Tunisia,Misri na kadhalika.
 
Siku nikiwa rais nitawafunza adabu, Ntaiba mpaka mumkumbuke rais alienitangulia. Kama siwez kushtakiwa?, Hivi wanasheria (Wale wanaharakati) wetu hawalioni hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom