Katiba Mpya: Kauli nzito za wazee

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
KAULI NZITO ZA WAZEE
"Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu".
Mzee Joseph Butiku.

"Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi".
Jaji Joseph Warioba.
"Ni bora kukubali mabadiliko wakati wanaoyadai ni wachache kuliko kusubiri wawe wengi, wanapokuwa wengi sana, jambo wanalolidai, watalidai kwa nguvu sana na kwa madhara makubwa na utakapolitekeleza kwa kulazimishwa, halitakuwa salama".
Prof.Palamaganda Kabudi.
 
Hakika wazee ni grease kulainisha, grease ikikosekana sehemu husika kama kiungo muhimu kwenye chuma husika mtambo uchemka sana na kuweka kutu, kisha kwa mchanganyiko wa hewa na kutu chuma uanza kulika na hatimae ukatika ghafra.Hivyo mwendesha mtambo anaposhindwa kutumia grease kwenye chuma au mtambo halisia basi ukaribisha matatizo kama ajali,mbaya ambayo yaweza sababisha madhara makubwa kwa mhusika na watu wengine wanaozungukwa na chuma hicho.

Pia matumizi ya pesa ambayo yalikuwa kinyume na uhalisia na gharama ambazo zilikuwa nje ya bajeti halisi ya huduma za mtambo husika.Kusudio la kutokutumia GREASE hapa INAMLAZIMU mhusika kuingia kwenye tukio HALISIA alilolijenga KWA UZEMBE binafsi hivyo kuleta majanga na gharama nje ya bajeti.

Wakati uwepo wa grease sehemu husika kwa kiwango halisi chuma au mtambo husika utendaji wake uendeshwa kwa viwango halisi mpaka pale mwendesha mtambo anapolidhika kuwa matumizi ya chuma au mtambo husika yamekidhi viwango na ubora toshelezi na hivyo kunaitajika mabadiliko kwa chuma au mtambo husika.

Hapa mabadiliko ya Mtambo ni tukio HALISIA ambalo ni la KIHIARI kwa Kuzingatia vigezo vilivyopanga na liko ndani ya bajeti na halina madhara yoyote kwa mwenye mtambo na watu wengine wanaozungukwa na mtambo.
 
wazee wamenena maneno yanayowagusa wale wenye busara na hekima tu,
maneno haya kuntu yanageuka kuwa donda sugu kwa serikali ya CCM kwasbabu ni ukweli uliotukuka na lazima yatimie haya kwasababu hakuna wa kubishana na nature kamwe.

Kudos wazee.
 
Hawa wazee ni moto kwa CCM ya sasa; hawa ndiyo wana CCM wa Mwalimu kabisa!! Ni kweli kama CCM ya mwalimu ungerudi hata leo mimi na wengine wengi humu tungekuwa wa kwanza kuchukua kadi.

Hilo haliwezekani, kwa maana nyingine tunaungana na UKAWA kutetea katiba bora ya wananchi ipatikane na si kwa vitisho vya watawala.
 
wazee wamenena maneno yanayowagusa wale wenye busara na hekima tu,
maneno haya kuntu yanageuka kuwa donda sugu kwa serikali ya CCM kwasbabu ni ukweli uliotukuka na lazima yatimie haya kwasababu hakuna wa kubishana na nature kamwe.

Kudos wazee.
Wenye mamlaka wanasema hao wazee hawana effect eti wanasubiri kufa wakati wowote.
 
"Wapumbavu hushupaa,wana kiburi lakini wajinga huduwaa" Prof.P.Kabudi.Maana yake ni kwamba wasiotetea maoni ya wananchi ni wapumbavu kwa sababu wana shupalia jambo bila hoja kwa kutumia mijitu ya Masaburi!
 
HAWA NI WAZEE WAZEE WANAOIJUA TZ NA CCM VYEMA kuliko kikwete na sitta. Kingunge aliGOMA BMK kumbeza WARIOBA. 2SIWAPUUZE.
 
Wenye Masikio na Wasikie...
KAULI NZITO ZA WAZEE
"Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu".
Mzee Joseph Butiku.

"Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi".
Jaji Joseph Warioba.
"Ni bora kukubali mabadiliko wakati wanaoyadai ni wachache kuliko kusubiri wawe wengi, wanapokuwa wengi sana, jambo wanalolidai, watalidai kwa nguvu sana na kwa madhara makubwa na utakapolitekeleza kwa kulazimishwa, halitakuwa salama".
Prof.Palamaganda Kabudi.
 
Kwakuwa ni Wapumbavu basi ni LAZIMA washupae!!!...I wish Wangekuwa angalau Wajinga kidogo labda wangekuwa na nafasi ya kujifunza na kuona nuru japo wenye mwanga wa kibatari...
Wenye mamlaka wanasema hao wazee hawana effect eti wanasubiri kufa wakati wowote.
 
KAULI NZITO ZA WAZEE
"Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu".
Mzee Joseph Butiku.

"Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi".
Jaji Joseph Warioba.
"Ni bora kukubali mabadiliko wakati wanaoyadai ni wachache kuliko kusubiri wawe wengi, wanapokuwa wengi sana, jambo wanalolidai, watalidai kwa nguvu sana na kwa madhara makubwa na utakapolitekeleza kwa kulazimishwa, halitakuwa salama".
Prof.Palamaganda Kabudi.
The great thinkers!! ccm hawawasikilizi hekima hizi za wazee!!! Wanawatukana na kuwadharau!
 
"Wao (CCM) wanahangaika na takwimu, na hata jana niliona kuna mmoja anahangaika na takwimu; sisi tulizingatia hoja" - J. Warioba
 
Hawa ndiyo Nyerere aliyebaki ila wao nafikiri wanamsikiliza yule aliyefariki kwa vile hawaoni wanayoyafanya
 
Yani kwa jinsi walivyokuwa wanaongea hadi nikatamani wangekuwa viongozi wa nchi.Yani maneno yao yana busara na utashi ndani yake.
 
..... Hao Ndo Viongozi Tunaowataka, Hii Inji Haitakiwi Kuwa Na Kiongozi Anaekenua Kenua Tu Mijino
 
..... Hao Ndo Viongozi Tunaowataka, Hii Inji Haitakiwi Kuwa Na Kiongozi Anaekenua Kenua Tu Mijino
 
Hebu fikiria busara kama hizi za wazee,ccm inasema wafungwe midomo wanyamaze.CCM wanataka kutupeleka wapi wazee kama hawa wakinyamaza?
 
Back
Top Bottom