uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Nilisahau kumalizia na" povu ruksa"Nimetamani. Kukupa jibu kubwa sana lkn sijui ww unaumri gani.mungu.nisamehe kwa majibu niliokua nimewaza kumpa kiumbe huyu ambaye simfahamu
Nilisahau kumalizia na" povu ruksa"Nimetamani. Kukupa jibu kubwa sana lkn sijui ww unaumri gani.mungu.nisamehe kwa majibu niliokua nimewaza kumpa kiumbe huyu ambaye simfahamu
Muulize Mh. Kange Lugola Kama ana amani au utulivu, jk ana amani au utulivu, waliotumbuliwa hadharani Wana amani au utulivu, waliovunjiwa nyumba zao bila kulipwa kupisha barabara Wana amani au utulivu, ambao hawajaongezwa mishahara yao kwa muda mrefu Wana amani au utulivu.Vyote