Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani.

Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria.

Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila masharti
 
Kwahili hata lumumba wamejifunza, ila wanaogopa kusema
 
Back
Top Bottom