Rais wangu sikia kilio hiki cha kanisa hili watendee haki
Yametimia. Viva UKAWA.
C'est vrai
hivi nyie mnazani hili taifa ni la shetani?viva ipi na ukawa ipi? au unamanisha ya
1,nguvu za mapepo ya kakobe
2,Nabii josho na mapep ya kineijeria
3,nguvu za mapepo ya gwajima yaliyomfanya kutukana viongozi wa dini?
nakupa swali la kutafakari kama umeenda shule
je alipokuwepo slaa ukawa mbona unabii wa kakobe hatukuuonana gwajima zidi ya ukawa ?
tumia akili yako kwa faida ya karama alizokupa mungu kwa faida ya taifa lako
naomba majibu,
wewe kijana, angalia maneno yako!kwa lipi la kakobeanazani sisi hatujui miujiza yake ya mapepo?
kwa taarifa yako hata maandiko matakatifu yanasema itafika wakati watakuja manabii wa uongo ,na wakati huu wa taifa kutaka kuanguka kwenye mikono ya ya nguvu za giza ndo kaboke hoja zake ni nyingi humu,
hajui huyo anacho kisema ...wewe kijana, angalia maneno yako!
Kakobe na siasa!!!
Mimi siyo fan wa Kikwete na kwa muda mrefu tu namrespect sana Kakobe kwa mambo mengine mengi isipokuwa tu yanapokuja maeneo mawili: 1. Kakobe unapenda sana kuwa comfrontationist kwa dini nyingine hata kwa madhehebu mengine ya Kikristo 2. Kakobe unapenda kumhusisha sana Mungu na hisia zako binafsi, na la kufurahisha inaonekana Mungu hajawahi kukubaliana na hisia zako.
Anyway, kwa vile wewe ni msomaji na mjuzi sana wa biblia kuliko mimi mshirika wa kawaida, lakini hata hivyo siamini kwamba vita yenu nyie walokole yapaswa kupiganwa bungeni kwenye majumbe ya katiba. Je Mt. Paulo hakusema vita yenu si ya damu na nyama bali ya roho huku mkipambana na mamlaka zisizoonekana katika ufalme wa giza?
Pambaneni huko huko na Mungu aweza kukushindia bila hata kuwa na uwakilishi bungeni.
tatizo nchi hii viongozi wanahabudu miungu na kutegemea waganga ndo maana wanafika mahali wana sema hakuna mungu zaidi ya hao waganga wao
Mwisho umefika, mara hii na ijulikane yupo Mungu mwenye mamlaka ya mwisho na sio miungu