Katiba inshtakiwa katika mahakama gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba inshtakiwa katika mahakama gani?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by montroll, Oct 14, 2011.

 1. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Katiba inayo halalisha uporaji wa madaraka,katiba inayolinda watawala kuendelea na utawala, katiba inayoruhusu ukandamizaji wa wenye nchi,katiba inayo mruhusu

  kiongozi kusema uongo bungeni na kuendelea na kuwa kiongozi,katiba inayo ruhusu rais kusema uongo na au kukaa kimya wakati wananchi wanasubiri kauli yake juu ya maswala muhimu ya nchi. Katiba hii inastahili kushtakiwa kisheria, kwa mtazamo wangu usio wa kisheria bali wa ki mantiki zaidi, inaweza kuwa madai au jinai dhidi ya katiba ya nchi. Wananchi dhidi ya katiba!

  Bunge laweza kuwa na mahakama ya katiba?-naona nalo linanufaika na katiba ililo liweka,
  kama mhakama hiyo ipo, basi jambo lakushangaza kabisa ni kwa nini katiba yetu haijafikishwa huko! Na kama hakuna mahakama huru ya kushtaki katiba ya aina hii, basi nadriki kusema kwamba, maneno elimu na ustaarabu hayana maana!
  Lakini sitaki kuamini,-na nadhani hata nikitaka itakuwa ngumu sana-kuwa elimu na ustaarabu havina maana.
  Ni mahakama ipi?
  Na hiyo mahakama itakayo iadhibu katiba iliyo iweka,nayo yaweza kushtakiwa katika mahakama ipi?

  Haki dhidi ya haki!
  Plz assist, i kinda confused here!
  Looks like the world is under the controll of a bunch of clever thugs!
  Nawakilishaa.
   
Loading...