Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,842
- 24,614
Sisi wachache tumebaki bado tunazingatia dhamira za mioyo yetu. Mfano inatokea sijisikii kumwita mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya,mbunge au waziri mheshimiwa maana kabisa najua simweshimu. Je kuna adhab yoyote napata?
Heshima haiombwi wala hailazimishwi je nikimwita tu mfano mkuu wa wilaya ni matatizo nikamwita bwana matatizo mkuu wa wilaya. Au nikasema kwa upendo kabisa ndugu matatizo kuna ubaya kisheria?
Heshima haiombwi wala hailazimishwi je nikimwita tu mfano mkuu wa wilaya ni matatizo nikamwita bwana matatizo mkuu wa wilaya. Au nikasema kwa upendo kabisa ndugu matatizo kuna ubaya kisheria?