57. Kila mwanamke ana haki ya:
(a) kuheshimiwa, kuthaminiwa na kutambuliwa utu wake;
(b) kulindwa dhidi ya ubaguzi, udhalilishaji, dhuluma, unyanyasaji, ukatili wa kijinsia na mila potofu;
(c) kushiriki bila ya ubaguzi katika uchaguzi na ngazi zote za maamuzi;
(d) kupata fursa na ujira sawa na mwanaume katika kazi zenye sifa zinazofanana;
(e) kulindwa ajira yake wakati wa ujauzito na pale anapojifungua;
(f) kupata huduma bora ya afya ikiwemo afya ya uzazi salama; na
(g) kumiliki mali.
We jamaa kusema kweli unaonekana umesoma lakini umeniacha hoi! Viongozi wa nchi hii watakuwa ndio kama wewe. Kisomo kipo lakini akiongea hamna lolote!9
Mpaka hapo tumepata makosa mangapi yaliyo kwenye Rasimu ya pili?
Hebu ngoja tusiende nje ya mada.
Naomba tuende kifungu kwa kifungu.
Je kwenye Rasimu ya pili iliweka Uwajibikaji ni TUNU.
hivi kweli uwajibikaji ni TUNU?
Naomba unijibu kwa faida ya wengi.
Vile vile vyanzo vya mapato katika uendeshaji wa Serikali ya Muungano vilikuwa butu kwenye rasimu ya pili.
Kwa maana hiyo kuifanya iwe tegemezi.
Hujui hii ingesababisha kuvunjika kwa muungano?
Je unayajua matatizo baada ya kuvunjika kwa muungano kinadharia?
Hebu naomba twende taratibu pointi kwa pointi.
Nawasilisha hoja.
We jamaa kusema kweli unaonekana umesoma lakini umeniacha hoi! Viongozi wa nchi hii watakuwa ndio kama wewe. Kisomo kipo lakini akiongea hamna lolote!
Nakubaliana na wewe kuwa kwenye rasimu ya pili serikali ya muungano ilikuwa ni hafifu, lakini kwani kazi ya bunge maalum ilikuwa ni ipi? Walikuwa na uwezo wa kuiongezea mamlaka pamoja na vyanzo vyake vya mapato na si kufuta kabisa uwepo wake!
Ni kweli hujaona ubaya wake kwa sababu ya ushabiki wa kichama, ukiwa mtu huru kama mimi utaona hayaUngetafuta wasaa ukatuliza akili na kuisoma hii rasimu iliyopendekezwa usingeandika hivi. Tatizo lenu ni wavivu wa kujisomea.
Mimi binafsi sijaona ubaya wake!
We jamaa kusema kweli unaonekana umesoma lakini umeniacha hoi! Viongozi wa nchi hii watakuwa ndio kama wewe. Kisomo kipo lakini akiongea hamna lolote!
Nakubaliana na wewe kuwa kwenye rasimu ya pili serikali ya muungano ilikuwa ni hafifu, lakini kwani kazi ya bunge maalum ilikuwa ni ipi? Walikuwa na uwezo wa kuiongezea mamlaka pamoja na vyanzo vyake vya mapato na si kufuta kabisa uwepo wake!
Ni kweli hujaona ubaya wake kwa sababu ya ushabiki wa kichama, ukiwa mtu huru kama mimi utaona haya
-serikali ni kubwa mno, hivyo pesa nyingi zitaendelea kutumika kwenye matumbo ya watu badala ya maendeleo ya Jamiii.
-wananchi hawaja pewa mamlaka ya kuwawajibisha wabunge wao wasiowajibika.
-viongozi hawana hofu ya kuwajibishwa kwa sababu vipengele vya uadilifu, uzalendo vimepigwa chini, na sijui wanaogopa nini, ila sishangai Unatarajia Mtu kama wa vijicent akubali neno uadilifu liwemo kwenye tunu.
-sijaridhishwa na kuwa na idadi kubwa sana ya wabunge, kila wilaya ingekuwa jimbo la uchaguzi inatosha, sas hawa ili kulinda maslahi yao wamependekeza 360 wa nini
-mpaka leo hii tunachat hapa, tunalia sheria nyingi mbovu, leo wanapitisha mtu ajue kusoma na kuandika
na mambo mengine mengi
Wenzako tunaangalia kwa macho hayo, na ujinga mwingine ambao unao unadhani kila mtu anayepinga ujinga huu ni wa upinzani, stop it. Katiba tunayoitaka ni kwa ajili ya watz wote sio kulinda maslahi ya kikundi kama hii ya akina sita
Yaani hii ndiyo shida ya kundi maslahi, nani kaongela hapo masuala ya serikali tatu? Tunazungumzia mbili zilizoboreshwaNdugu nadhani hujaisoma vizuri hii rasimu ya mwisho.
Naomba tuende kipengere kwa kipengere.
Rasimu ya pili ilikuwa na Serikali tatu sawa?
Serikali ya Muungano
Serikali ya Tanganyika
Serikali ya Zanzibar.
Naomba sasa yuongelee swala la Gharama
1. Utakuwa na katiba tatu.
Kila katiba itaelezea ni namna gani itajitawala
a. Kutakuwa na mawaziri wakuu watatu
b. Kutakuwa na makamu wa raisi watatu
c. Kutakuwa na makatibu wakuu watatu
d. Kutakuwa na makamu wa raisi watatu
e. Kutakuwa na marais watatu
f. Tugekuwa na mabaraza ya mawaziri matatu
g. Tugekuwa na mabunge matatu
Sasa ndugu unapoongelea gharama gharama ipi kubwa kati ya mbili na tatu?
Kwa sababu serikali za mitaa ni suala la katiba za nchi washirika! Kwa nini hilo haliingii akilini mwako?! We nishakujua ni mtu wa kufuata tu kinachosemwa na wengine, na CCM wataendelea kutegemea ignorance ya watanzania kama wewe kama mtaji wao. Kusema kweli mimi nilikuwa muumin wa serikali moja, lakini ningeweza kushawishika kukubali serikali mbili, ila nyie wanaCCM hamna hoja zenye mashiko, kazi yenu tu ni mipasho. Wewe hapo hoja zote ulizotoa ni batili na hazina uzito wowote. Unaongea tu ili uonekane umechangia hoja. Ndio maana nikaamua kusupport serikali tatu kwa vile angalau wao wanajua kujenga hoja!Vile vile naongezea kuwa Rasimu ya pili haikuwa utawala wa serikali za mitaa.
Nikosa kubwa sana kuacha hili suara na kujiaminisha kuwa litashugulikiwa na nchi washirika huku ukiongelea haki za binadamu na kujinadi kuwa ni msingi wa katiba za washiriki.
1. Ulinzi na usalama wa nchi yoyote unaanzia katika serikali za mitaa. Huwezi ukaweka kwenye katiba kuwa jukumu la ulinzi na usalama ni la kila raia huku ukiacha kuelezea serikali za mitaa.
2. Rasimu ya pili haikuwa katika mrengo wa kimaendeleo. Maana walengwa wa maendeleo katika nchi ni wale walioko kwenye serikali za mitaa.
Nitaendelea kutoa kwanini sasa hii Rasimu ya mwisho ni nzuri.
Kwa sababu serikali za mitaa ni suala la katiba za nchi washirika! Kwa nini hilo haliingii akilini mwako?! We nishakujua ni mtu wa kufuata tu kinachosemwa na wengine, na CCM wataendelea kutegemea ignorance ya watanzania kama wewe kama mtaji wao. Kusema kweli mimi nilikuwa muumin wa serikali moja, lakini ningeweza kushawishika kukubali serikali mbili, ila nyie wanaCCM hamna hoja zenye mashiko, kazi yenu tu ni mipasho. Wewe hapo hoja zote ulizotoa ni batili na hazina uzito wowote. Unaongea tu ili uonekane umechangia hoja. Ndio maana nikaamua kusupport serikali tatu kwa vile angalau wao wanajua kujenga hoja!
Nitazidi kumwomba Mungu watanzania kama wewe mfunguke macho
Kwa nini mnapenda kuwadanganya watanzania sana? Kwenye katiba ya Kenya walileta mfumo wa majimbo na kila jimbo sasa lina serikali yake na bunge lake. Utakuwa ni mpumbavu sana ukisema eti kwa vile sasa wana serikali 48 za majimbo gharama za kuendesha serikali pia zitaongezeka mara 48!Ndugu nadhani hujaisoma vizuri hii rasimu ya mwisho.
Naomba tuende kipengere kwa kipengere.
Rasimu ya pili ilikuwa na Serikali tatu sawa?
Serikali ya Muungano
Serikali ya Tanganyika
Serikali ya Zanzibar.
Naomba sasa yuongelee swala la Gharama
1. Utakuwa na katiba tatu.
Kila katiba itaelezea ni namna gani itajitawala
a. Kutakuwa na mawaziri wakuu watatu
b. Kutakuwa na makamu wa raisi watatu
c. Kutakuwa na makatibu wakuu watatu
d. Kutakuwa na makamu wa raisi watatu
e. Kutakuwa na marais watatu
f. Tugekuwa na mabaraza ya mawaziri matatu
g. Tugekuwa na mabunge matatu
Sasa ndugu unapoongelea gharama gharama ipi kubwa kati ya mbili na tatu?
Kwa nini mnapenda kuwadanganya watanzania sana? Kwenye katiba ya Kenya walileta mfumo wa majimbo na kila jimbo sasa lina serikali yake na bunge lake. Utakuwa ni mpumbavu sana ukisema eti kwa vile sasa wana serikali 48 za majimbo gharama za kuendesha serikali pia zitaongezeka mara 48!
Unaweza ukaleta serikali tatu nchini na hapo hapo kupunguza gharama za kuendesha serikali. Bunge la Rasimu ya pili lina wajumbe 75, sasa linganisha hiyo na hawa 360 wanaopendekezwa kwenye rasimu ya tatu!
Pia rasimu ya pili ilisema wizara zisizidi 15, rasimu ya tatu inasema zisizidi 30. Kwa akili zako timamu bado unadhani gharama za kuendesha serikali mbili pia ni ndogo?
Kwa nini mnapenda kuwadanganya watanzania sana? Kwenye katiba ya Kenya walileta mfumo wa majimbo na kila jimbo sasa lina serikali yake na bunge lake. Utakuwa ni mpumbavu sana ukisema eti kwa vile sasa wana serikali 48 za majimbo gharama za kuendesha serikali pia zitaongezeka mara 48!
Unaweza ukaleta serikali tatu nchini na hapo hapo kupunguza gharama za kuendesha serikali. Bunge la Rasimu ya pili lina wajumbe 75, sasa linganisha hiyo na hawa 360 wanaopendekezwa kwenye rasimu ya tatu!
Pia rasimu ya pili ilisema wizara zisizidi 15, rasimu ya tatu inasema zisizidi 30. Kwa akili zako timamu bado unadhani gharama za kuendesha serikali mbili pia ni ndogo?
Ongelea katiba na pointi kwa point sio kuleta porojo hapa. Tao ibara ipi unaipinga kwanini. Sio kutoa bra bra tu.
Nimeipitia katiba kipengere kwa kipengere.
Hakika imekaa vizuri sana. nimekuwa nikijiuliza wale wanaoipinga wanapinga kwa hoja zipi!!?
Ailimia kubwa mambo yaliyopendekezwa na tume ya Warioba yamo.
Eti kwa sababu tu kwamba serikali tatu haipo.
Asilimia kubwa ya watu wanaisoma kwa mrengo wa kuipinga. Hawako na free mind.
Kuna mambo mazuri sana mengi. Mfano:
Na kuna mambo mengi sana nitaendelea kuya toa.
Basi endelea kufikiria hivyo. Utashangaa.