Katiba imekaa vizuri sana

Katiba imekaa vizuri sana

uMETUMWA? NENDA KAPOKEE POSHO YA WEEKEND

Huu ni uvivu wa kufikiri, kila anaetoa maoni yake unasema ametumwa, basi tuambie wewe umetumwa na nani? Akili za kichina hizi, hazitadumu kamwe
 
Hivi ukimpa fundi kazi ya kukujengea nyumba, utaipenda tu hiyo nyumba kisa imejengewa kuta nzuri, paa zuri, madirisha mazuri, milango mizuri, hata kama imejengewa kwenye msingi wa kifusi badala ya mawe?
 
Na kama kila kitu kiko sawa utasemaje?
 
Ok...
Kila kitu kingekuwa sawa kwenye hii rasimu wala usingeweka huu uzi hapa...

Nimeweka kwa sababu ya haters.
Ni kama unamke nyumbani kila siku kulalamika lalamika.
Mara huniletei zawadi ukimletea, ungenishirikisha wakati wa kununua, ukimshirikisha , mwanaume gani kila kitu lazima uulize. so which is which? maana yake hajui anataka nn zaidi ya kulalamika.
 
Haters.... hating who?
 
Hating the Government OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Is the constitution draft property of people or of government?
Why government haters become draft haters as well?
 
Is the constitution draft property of people or of government?
Why government haters become draft haters as well?

The government belong to people. So people is government and government is people.
 
So people hate themselves? !!!

Kuna watu wamepandikizwa na nchi za nje kuchafua nchi. We are with them but we are not together.
 
Kuna watu wamepandikizwa na nchi za nje kuchafua nchi. We are with them but we are not together.

Hahaa... huo ndo mwisho wako wa kufikiri? Acha kuwa brainwashed na Nape... yule hata shule alifeli. You can do better yourself
 
Hahaa... huo ndo mwisho wako wa kufikiri? Acha kuwa brainwashed na Nape... yule hata shule alifeli. You can do better yourself

Sasa hayo yametoka wapi sasa ya kumwingiza nape hapa? I don't know nape.

Wewe leta point zako tujadili sio kukimbilia kujificha. kujifanya unaakili sana kuliko watu wengine. Wewe twende point kwa point. nilikuwa nakuweka sawa tu.

Turudi kwenye topic. Niambie; mimi nimeiona nzuri na nimetoa point. je kwako mwenzangu vipi?
 
Siwezi kujadili chochote na mtu anayeamini kila mwenye mawazo tofauti na CCM "amepandikizwa" na mataifa ya nje...
 
Siwezi kujadili chochote na mtu anayeamini kila mwenye mawazo tofauti na CCM "amepandikizwa" na mataifa ya nje...

Sasa basi umeshindwa kutoa hoja. Ushindi ni wangu kisheria.
 
Endelea kuwatetea maharamia wenzako ccm ss vijana wazalendo wa UKAWA tumejiaandaa kuzunguka nchi nzima hasa vijini kuelimisha wanachi kuhusu kuipigia kura ya HAPANA rasimu ya ccm tunaamini tutafanikiwa kwa uwezo wa MUNGU ccm mtarajie kuendelea kuwadanganya au kuwadaa wananchi tena huu upuuzi ulifanya kwa miaka 50 inatosha
 
Utazunguka pekee yako sisi tuko busy tunajenga nchi.
 
Nimeipitia katiba kipengere kwa kipengere.
Hakika imekaa vizuri sana. nimekuwa nikijiuliza wale wanaoipinga wanapinga kwa hoja zipi!!?
Ailimia kubwa mambo yaliyopendekezwa na tume ya Warioba yamo.
Eti kwa sababu tu kwamba serikali tatu haipo.
Asilimia kubwa ya watu wanaisoma kwa mrengo wa kuipinga. Hawako na free mind.

Kuna mambo mazuri sana mengi. Mfano:

Na kuna mambo mengi sana nitaendelea kuya toa.

HAPO hakuna katiba , CCM wamepiga mbali . Posho laki 3 kwa siku halafu munaipitisha rasimu ya Warioba , katiba tayari ,laki 3 kwisha hapo katu wenye njaa hawafikiri hivyo.

Hapa ni kupitisha mizengwe, peleka katiba kwa wananchi waache wakatae , katiba , tunarudisha tena rasimu ya warioba laki 3 kwa siku zinaendelea . Waji..nga ndio waliwao
 
Annel umejaa ushabiki na upungufu wa utashi wa kawaida maana rasimu imetunyima mamlaka,imetaja 50% kwa 50% kwa wanawake je wanawake wa kijijin hizo nafas za uongoz watazipataje,baraza la vijana limetajwa tu linaning'inia utafik jua angani, mambo ni meng sana hayajakaa vizur halafu tunaleta ushabiki
 
Kwa nini mnapenda kuwadanganya watanzania sana? Kwenye katiba ya Kenya walileta mfumo wa majimbo na kila jimbo sasa lina serikali yake na bunge lake. Utakuwa ni mpumbavu sana ukisema eti kwa vile sasa wana serikali 48 za majimbo gharama za kuendesha serikali pia zitaongezeka mara 48!
Unaweza ukaleta serikali tatu nchini na hapo hapo kupunguza gharama za kuendesha serikali. Bunge la Rasimu ya pili lina wajumbe 75, sasa linganisha hiyo na hawa 360 wanaopendekezwa kwenye rasimu ya tatu!
Pia rasimu ya pili ilisema wizara zisizidi 15, rasimu ya tatu inasema zisizidi 30. Kwa akili zako timamu bado unadhani gharama za kuendesha serikali mbili pia ni ndogo?

Wanapenda kudanganya ili waendelee kuchuma zaidi na kufaidika zaidi na mfumo uliopo.Usitegemee familia za watawala waipige vita katiba yao ya watawala.
 
Back
Top Bottom