BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Jamani mimi napata shida na ninaona kuna conflict of interest katika utekelezaji. Nikichukulia mfano structure ya shirika la uma kama Tanesco na mengine. Leo ngoja tujadili Tanesco.
TANESCO
1. Kuna Management ya Tanesco
2. Kuna Board ya Wakurugenzi
3. Kamati ya Nishati na Madini
4. Wizara ya Nishati na Madini.
Ok, who is the decision maker? nani anafanya nini?
I am serious
Blue Balaa, hakuna conflict of interest yoyote.Jamani mimi napata shida na ninaona kuna conflict of interest katika utekelezaji. Nikichukulia mfano structure ya shirika la uma kama Tanesco na mengine. Leo ngoja tujadili Tanesco.TANESCO
1. Kuna Management ya Tanesco
2. Kuna Board ya Wakurugenzi
3. Kamati ya Nishati na Madini
4. Wizara ya Nishati na Madini.
Ok, who is the decision maker? nani anafanya nini?
I am serious
1) Tanesco ni kampuni ya kufuwa na kugawa umeme kwa hayo lazima iwe na management.
2) Same as above, kampuni la lazima iwe na board ya directors. Kwa hiyo swali lako la kwanza na la pili halina mantiki bali ulitaka kujaza namba tu.
3)Kamati ya Nishati na Madini ni kamati ya Bunge ambao ni mhimili wa tatu wa uongozi na ni wawakilishi wa wananchi katika masuala yao ya kila siku yanayoendeshwa na serikali. Hii ni kamati muhimu sana kwa kutuwakilisha sisi wananchi na nnaona hii ya bunge hili imeanza kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Natumai itazidisha bidii.
4) Wizara ni wizara, kama hujui maana ya wizara na au waziri, na kazi zake naomba soma katiba ya Tanzania.
Upo hapo ulipo?
Blue Balaa, hakuna conflict of interest yoyote.
Conflict of interest ni muingiliano wa ki maslahi binafsi kati ya vyombo hivyo.
Wizara ndio mmiliki kwa niaba ya Watanzania, yeye hutunga sera tuu na kutoa miongozo.
Bodi hutoa maamuzi yaani decision maker.
Menejimenti ni mtekelezaji wa maamuzi ya bodi. Kamati ya Bunge ni oversight kuangalia kwa jicho la tatu for checks and balance na inaplay only advisory role kwa bodi na menejimenti na inawajibika kwa Bunge. Ewura ni regulatory authority na Fair Competition ni kusimamia ushindani wa haki huku Fair Competition Tribunal ndio mamlaka za rufaa za regulators wote (TCRA, SUMATRA, EWURA, TIRA, TCAA, etc) na bado hakuna conflict of interest.
Binti Mkongwe/Nyandaigobeko asante, in Dowans scenario which body should rule out wether we use their plant or not
Bad Politics <<<<< Ulaji tunajitengenezea mkuu.
Kwa maoni yangu binafsi, management ndiyo wale watekelezaji wa kila siku (wabeba boxi) kuanzia mkurugenzi mkuu mpaka kufikia wafanyakazi wa kawaida. Board ndiyo wenye maamuzi kuhusu vipi mambo yaende kwenye shirika. Lakini wenyeviti (kama mfano huo wa TANESCO) hawatakiwi waende kuhamia ofisini ili kufuatilia utendaji wa kazi, hapo kutakuwa na muingiliano wa shughuli.
Wizara ni kwamba inafanya monitoring na hasa inatakiwa kufocus kwenye decisions za kisiasa.
Kamati ya bunge hiyo ni issue nyengine inafuatilia shughuli yote ya uendeshaji wa shirika au taasisi
yes i support u for ur assumptions and augumentsNaona umejitahidi sana kufanya justification na bila shaka wewe ni mtumishi wa huma, we hate you for your poor performance. Ok tell me the overall performance ya hiyo TANESCO under the umberlla of Board, Wizara, Kamati na sijui Ewura.