Kati ya Whitedent na Colgate ipi dawa iliyo bora

Kati ya Whitedent na Colgate ipi dawa iliyo bora

Watu wa FOREVER LIVING PRODUCTS wanasema, dawa hz za meno tunazozitumia, zina sumu, na katika mabox ya dawa yameandikwa "do not swallow".
 
Watu wa FOREVER LIVING PRODUCTS wanasema, dawa hz za meno tunazozitumia, zina sumu, na katika mabox ya dawa yameandikwa "do not swallow".

Hizo ni biashara tu lazima kila mtu afutie kwake hata hizo zao sina sumu vile vile halafu unavyoswakwi siunaondoa mabaki kinywani ambayo ni uchafu sasa weww kwanini umeze uchafu huoni kama utasababisha matatizo mengine
 
mkuu, nakushauri tafuta dawa inaitwa forever bright y aaloevera ni nzuru sana zaidi ya sana, bei si chini ya 10,000, wengine wanauza 12, 14, hadi 15 inategemea na mahala duka lilipo.

ila ni dawa nzuri sana kwa ulinzi wa meno moja kwa moja.

Huna lolote zaidi ya kuvutia biashara...mwanangu anatumia hiyo dawa for three years now...meno ya mwisho mwawili yameoza..moja la mbele nimelika...
 
Back
Top Bottom