"Kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume...!!"

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee mwanaume kweli, kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume,....na maneno kede wa kede ya aibu.

Mume naye utamsikia: Kwanza nanihii yako mbovu, sijui nini na nini......

Cha ajabu baada ya muda tunamwona bibiye tumbo limekua kuelekea mbele.
Basi watu tunabaki tumeduwaa.

Heshimianeni jamani.
 
Ndio maana unaambiwa ukiona wapenzi wanagombana usijaribu kuweka chumvi kwa neno lolote lile.Mwisho wake ndo huo,jioni wenzenu wanacheka mpka wanapeana matumbo....Mapenzi waachien watu wawili.
 
Wote wawili ni SHEMALE, labda yule dada hujipa ujauzito mwenyewe, dont assume ni wa mumewe.
 
Ndio maana unaambiwa ukiona wapenzi wanagombana usijaribu kuweka chumvi kwa neno lolote lile.Mwisho wake ndo huo,jioni wenzenu wanacheka mpka wanapeana matumbo....Mapenzi waachien watu wawili.

Lakini huenda kuwa lile tumbo huwa si la mumewe.
 
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee mwanaume kweli, kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume,....na maneno kede wa kede ya aibu.Mume naye utamsikia: Kwanza nanihii yako mbovu, sijui nini na nini......Cha ajabu baada ya muda tunamwona bibiye tumbo limekua kuelekea mbele.Basi watu tunabaki tumeduwaa.Heshimianeni jamani.
mwaya tumbo kuwa kubwa sio lazima likuzwe na mumewe ndio maana tukagaiwa tofauti ndefu fupi wengine nene wengine nyembaba lakini shuguli zao ama efficiency zinapishana so ugomvi wao na tumbo kujaa wala auendani kama uamini nipe mkeo uone kama atazaa njuguam kiddingbyeee happy friday bana tumethutbutu tumewezwa ila ukacameron NO!!!!!!!!!
 
Haa haaaa nimejikuta nacheka jaman mwanchekesha nyie watu ..being here its realy funny 2 me!!
 
mwaya tumbo kuwa kubwa sio lazima likuzwe na mumewe ndio maana tukagaiwa tofauti ndefu fupi wengine nene wengine nyembaba lakini shuguli zao ama efficiency zinapishana so ugomvi wao na tumbo kujaa wala auendani kama uamini nipe mkeo uone kama atazaa njuguam kiddingbyeee happy friday bana tumethutbutu tumewezwa ila ukacameron NO!!!!!!!!!

Mi sina noma mkuu, naweza nikakupa unitunzie walau kwa mwezi mmoja tu.
 
ah hizo ndo ndoa za wenjeji wa kulee ambako ukitaka kwenda kwao mabasi unapandia buguruni sheli jirani na kibomba bar..
 
Back
Top Bottom