"Kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume...!!"

Ndoa inahitaji uvumilivu, kuheshimiana na kutunziana siri .....
Haya mambo waliyofanya wamejidhalilisha wenyewe
 
hayo yapo masaki kuliko hata uswazi, sema ndio hivyo tena

Kweli kabisa kamanda. Kule bwana ndo kuna mambo maana zile za We unaendesha VX na mie naendesha Benz utanambia nini we mwanaume! Ah kwa wenye nazo bwana haimaanishi heshma na mambo yote mazuri pia yako kwao. Huko ndo kuwakako moto!
 
Kweli kabisa kamanda. Kule bwana ndo kuna mambo maana zile za We unaendesha VX na mie naendesha Benz utanambia nini we mwanaume! Ah kwa wenye nazo bwana haimaanishi heshma na mambo yote mazuri pia yako kwao. Huko ndo kuwakako moto!

Aisee kweli kabisa.
mi nnao mfano mwingine tena wa huko huko maeneo ya baharini.
Jammaa kenda kidato na mke kenda kidato, wote wana cheda ile mbaya.
hakuna maelewano hata kidogo. hata kulala kila mtu na kitanda chake.
 
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee mwanaume kweli, kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume,....na maneno kede wa kede ya aibu.

Mume naye utamsikia: Kwanza nanihii yako mbovu, sijui nini na nini......

Cha ajabu baada ya muda tunamwona bibiye tumbo limekua kuelekea mbele.
Basi watu tunabaki tumeduwaa.

Heshimianeni jamani.


Ndoa jamani!!, Ukisikia matusi hayo yoote ni hamasa (CHARGE) ya vita baadae ndio mwisho kitumbo hicho!!, Nakumbuka hapo enzi zile za Muhaamad Ali na Joe Foreman, kabla ya pambano lao la ndondi, kejeli na matusi ya Ali, nakwambia siku zile twakaa mpaka saa tisa alfajiri, tukingoja pambano kwa hamu, baada ya hamashisho!!
 
Huo msemo ni kati ya zile silaha ambazo wanawake wanadhani wakizitumia watatubabaisha.Silaha nyingine maalum ni hii "Mwanaume gani kwanza kamguu kako ka katikati kama KIBAMIA nakuvumilia tu".HAJUI saa nyingine kwamba PEPETUA yake ndo imevuka standards za kawaida
 
Back
Top Bottom