legend jemedari
Senior Member
- Sep 7, 2013
- 176
- 239
Duh kazi ndo kwanza inaanza
Kumbe shida nii UDOM? Wangemalizi UDOM wangepewa Stashahada au cheti. watu wanashindwa kuelewa. Vyuo vikuu wanatoa, certificate, diploma, degree, masters, etc.Kwa hili tamko bado naona ukakasi,
Je Hawa ni akina nani kati ya hao wanafunzi 7000?
"Aidha alisema kuwa wengine 4,586 wa mwaka wa kwanza wa programu maalum wa stashahada ya ualimu wa sekondari waliokidhi vigezo vya ufaulu watahamishiwa katika vyuo vya ualimu vya serikali ambavyo ni Morogoro, Butimba,Mpwapwa, Songea na Tukuyu kuendelea na masomo na wanafunzi1,337 wa mwaka wa pili watahamishiwa vyuo vya Korogwe na Kasulu ili kumalizia masomo yao"
Wanamuelewa sana, sema wanajifafanya hamnazoNdani ya miaka 5 ya Rais JPM hii nchi itanyooka tu.Wengine tumeshamuelewa tayari.Wale wasiomuelewa watamuelewa taratibu,na wasiotaka kuelewa tuwape pole maana gari imeshashika kasi.
Hujaelewa nini? vigezo vya ufaulu wa level ya hivyo vyuo tajwa na sio chuo kikuu.Kwa hili tamko bado naona ukakasi,
Je Hawa ni akina nani kati ya hao wanafunzi 7000? Nanukuu:
"Aidha alisema kuwa wengine 4,586 wa mwaka wa kwanza wa programu maalum wa stashahada ya ualimu wa sekondari waliokidhi vigezo vya ufaulu watahamishiwa katika vyuo vya ualimu vya serikali ambavyo ni Morogoro, Butimba,Mpwapwa, Songea na Tukuyu kuendelea na masomo na wanafunzi1,337 wa mwaka wa pili watahamishiwa vyuo vya Korogwe na Kasulu ili kumalizia masomo yao"
Ondoeni upotoshaji humu, mnaudhi sana kudhihaki kila kitu, ushaona wapi Tanzania hapa, chuo gani nchini humu mtu anayesomea cheti achilia mbali stashahada akapewa mkopo na serikali? hivi huu uchafu nao ni wa kuutetea kweli? wanafunzi wangapi mayatima na wenye uhitaji hasa vyuo vikuu walikosa mikopo na hivyo kuharibu ndoto za maisha yao sababu ya watu kama hawa ambao hawakuwa na sifa ila wakabebwa?Kumbe shida nii UDOM? Wangemalizi UDOM wangepewa Stashahada au cheti. watu wanashindwa kuelewa. Vyuo vikuu wanatoa, certificate, diploma, degree, masters, etc.
Sikila mtu anayesoma chuo kikuu atapata shahada, wengine watapa certificate of completion tu. Mfano mzuri, ukienda UDSM department ya commerce utakutana na watu wengi. kwa mtu mgeni atajua tu wote hawa watapata stashahada, kumbe wengine wanasoma kozi fupi.
Mnaelewa nini? Mliwatetea kwamba wameonewa wote walikuwa na vigezo, tena mkatuaminisha kwamba wote walikuwa na div 1 na 2 pekee, leo mmepewa facts kwamba waliokutwa na vigezo yaani div 1-3 hawafiki 400, DHAMBI YA UNAFKI INAWATAFUNA.Continuation of the last Comedy. Mmetufanya sisi mazuzu, tunaelewa sana, sema tu hatuna cha kuwafanya.
Kwanin mliwapa notice ya 24 hours wawe wameondoka?Baadaye mkawapelekea jeshi la polisi likawanyooshe utafikiri ni wahalifu!Nasubiri Tamko kutoka kwa UKAWA
Ukitukana wewe ruksa kisa una kadi ya chama, wengine wakitukana mnakuja juu. pole hiyo ndo nguvu ya hoja.Ondoeni upum.bavu wenu na upotoshaji humu, mnaudhi sana kudhihaki kila kitu, ushaona wapi Tanzania hapa, chuo gani nchini humu mtu anayesomea cheti achilia mbali stashahada akapewa mkopo na serikali? hivi huu uchafu nao ni wa kuutetea kweli? wanafunzi wangapi mayatima na wenye uhitaji hasa vyuo vikuu walikosa mikopo na hivyo kuharibu ndoto za maisha yao sababu ya watu kama hawa ambao hawakuwa na sifa ila wakabebwa?
Mkuu umeelezea vyema lkn bado sijaridhika.sasa yamefanyika marekebisho 382 watarudi Udom na wengine watakwenda vyuo vya ualimu vya serikali sasa unataka nini tena?
Tamko kutoka UKAWA au kutoka kwa aliyewapeleka UDOM? Ameshasema kuna jamaa amemuachia mzigo mkubwa, sasa huyo jamaa yupo UKAWA? Wale wabunge wa CCM waliosema wamewapa lifti na kuwasaidia malazi wanafunzi waliofukuzwa kwa mabomu, nao wapo UKAWA?Nasubiri Tamko kutoka kwa UKAWA
Nasubiri Tamko kutoka kwa UKAWA
Lakini si huyu huyu mwanzoni alituambia tatizo ni mgogoro wa kimaslah uliopo kati ya Walimu wao na uongozi wao,so watarudishwa shulen baada ya kuumaliza huo mgogoro.Mnaelewa nini? Mliwatetea kwamba wameonewa wote walikuwa na vigezo, tena mkatuaminisha kwamba wote walikuwa na div 1 na 2 pekee, leo mmepewa facts kwamba waliokutwa na vigezo yaani div 1-3 hawafiki 400, DHAMBI YA UNAFKI INAWATAFUNA.