Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Hivyo vyote vilienda na mafuriko.sijaviona siku nyingi.bado vipo??ngoja nimuulize house girl wangu nilimnunulia cha kwenda nacho sokoni kununulia bamia na ngogwe.nitarudi baada ya muda

Duh... Mafuriko... Hatarii.... Yaani mafuriko yanaweza yakakuchukuwa hadi wewe... Sasa sijui na wewe ni KIVITZ..!!??
 
Heshima ya gari inatokana na heshima alionayo driver. Basi.
Ila zikiwa show room inayyopendeza zaidi ni yenye rangi nzuri
 

wape somo hao, wengi wao washamba magari wamekuja kuyajua ukubwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…