Hizo zote ni gari za Wanawake!
Sana mkuu. Iyo 14 inch ni screen au
Sawa. Una uwezo wa kuwa nayo?
Tusiwe isolated, tuujue ulimwengu na kinachoendelea. Hizo Vitz na Paso ni kubwa sana ukilinganisha na sample nilizoeleta hapo juu gari zinazopendwa na wengi sasa. Gari gharama nafuu na baada ya miaka kati ya saba na kumi unanunua chuma kipya kingine kinachoendana na wakati.
Kuna bado ambao tunafikiria ya karne iliyopita. Gazi hizo ndizo zinazotamba katika ulimwengu wa nchi zilizoendelea kwa sifa sifuatazo:
- Hutumia Petrol kidogo sana.
- Nyingi hutumia umeme badala ya fuel.
- Parking haina shida.
- Parts sio ghali.
- Hununuliwa kwa gharama nafuu.
- Gari inayofaa kwenda nayo kazini sababu abiria mmoja hakuan sababu kuwa na gari kubwa.
Hayo na mengine hufanya magari hayo yapendwe na wengi hata wenye nafasi nzuri hupendelea magari madogo ambayo kwa sifa za hapo juu na nyingine mtakazoongeza wadau ni magari poa sana.

...MASABURI ni kiongozi mmoja mkubwa tu katika halimashauri ya manispaa ya Kinondoni. Lilipoibubuka suala la uzwaji holela wa UDA (Usafiri Dar es salaam) viongozi ndani ya manispaa wakaanza kuthumiana. Didas Masaburi, kujibu mapigo, akatumia media kuwashambulia mahasimu wake akiwemo Zungu-mb, kuwa wanafikiria kwa kutumia makalio. baada ya kuwatukana, hivyo, hapa JF, ukiandika kitu halafu mtu asikubaliane na wewe, anaamini hujafikiri kwa kutumia kichwa chako, bali umetumia makalio. Kupunguza ukali wa maneno, basi atakucoment, umetumia UMASABURI- yaani umefikiri kwa makalio na sio kichwa. Ndivyo ninavyofahamu
Vitz mpango mzima, shikamoo vitz
Heshima haiji kwa sababu ya gari. Suala ni mahusiano mazuri na wenzio ndo yanaleta heshima.
tatizo kwenye mishale ya mchana huwa madreva wa semitera na maroli hawavion vikiwa vinakimbia kwa kasi so kukugonga ni kugusa just kidding ila msala ukigogwa upo kwenye hvyo vigari unakuwa kama umesindikwa yan unabanwa mpka unazikwa nacho
Mi nina passo newmodel natesa vizuri tu mjini hapa hasa ukianzia wese na pilika za hapa na pale,shell na.mimi hatuna urafiki kabisa kwani huwa naenda mara 1 kwa mwezi so wewe mwenye jini cruser homgera sana
Hizo zote ni gari za Wanawake!
Kati ya Vitz na Passo ipi ina
heshima?
Jibu: huku kwetu heshima anakuwa nayo Dereva/mwendeshaji. Gari ni mashine tu ya kusafiria.
Huku kwetu kuna mbwa kibao wanaendesha magari na pikipiki, lakini bado heshima yao ni MBWA TU.
Passo na vitz ni just usafiri na siyo gari ,gari bwana huanzia angalau cc 1300 kuendelea chini ya hapo ni baby walker tu