joey kooley
Member
- Dec 15, 2014
- 98
- 23
Zote ni gari nzuri inategemea unamnunulia nani. Kama ni wife nunua passo kama ni mchepuko mpe vitz
Hata kama hana la msingi ni kuwa mkweli vtz passo swift hayo yote ni magar yetu sisi wenye kipato cha chini! jamaa yeye kauliza gar ya heshima sio hizo mkuuWanaoponda haya magari wengi wao wachimba chumvi, a.k.a sizitaki mbichi hizi. Hawana ata uwezo wa pikipiki ya TOYO
Habar zenu wadau. Kwa mtazamo wangu naona Vitz ina heshima. Passo kitu gani kwanza wameniboa walivoeka staff gear. Ndani mpangilio wa viti umekaa cheap sana. Big up Vitz.
Mnyika anatumia vits
Habar zenu wadau. Kwa mtazamo wangu naona Vitz ina heshima. Passo kitu gani kwanza wameniboa walivoeka staff gear. Ndani mpangilio wa viti umekaa cheap sana. Big up Vitz.
Yenye Heshima Ni " HUMMER " Peke Yake Na Hizo Zingine Hazina Tofauti Na Bajaji Na Siku Nyingine Ukija Humu Uje Na Idea Za Benz, Lamborgine, Jaguar, BMW, Helicopter Na Ndege Tena Nayo Ni Ile Aina Ya Concord Tu Sawa?
jamani nauliza ulaji wa mafuta wa gari zote hizi mbili paso na vits