Watz tumejaa dharau utafikiri huko majumbani tumepaki magari, kwanini uwezo wa kufikiri unaishia kuclassify magari, eti hili babywalker, hiki kifuu, hili la wanawake, etc. Je wajua issue za space on land utilization, na jinsi miji ilivyokuwa na limited parking lots huko majuu!? Ndio maana wakaplan magari madogo yanayoendana na parking space ya mmiliki karibu na home kwake. Hili Tz hatufikirii kabisa, tujifunze mengi tuelewe kwa nini magari madogo ndio yanafuata mengine yenye ukubwa mpaka mabasi ya mwisho.