Kati ya unaibu waziri na ubalozi, kipi ni cheo kikubwa?

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
177
609
Hili swali nimejiuliza peke yangu lakini nimeshindwa kupata jibu.

Hii ni kutokana na Mh Rais kumteua Dr Possi kuwa balozi, kwa hatua hiyo Dr Possi imembidi kujiuzulu ubunge na unaibu waziri wake.

Sasa hili ni shavu kwake au mzee ameamua kumtumbua kiaina?
 
Hivi alijiuzulu au aliambiwa ajiuzulu!? Hata hivyo ninavyojua mabalozi huendelea kulipwa pesa na serikali mpaka anakufa, ila waziri na naibu waziri malipo yao hukoma pale wanapoachia ngazi uwaziri na unaibu waziri.
 
Ibalozi ni kitu kidogo sana mbele ya ubunge na unaibu waziri. Ndo maana Dr. Kamara Kaacha ubalozi karudi kwenye ubunge.
 
Ukishajua kwamba waziri ni mbunge, utakuwa umepata jibu.
Kwa Tz post inayouzidi ubunge ni Makamu wa rais, waziri mkuu, jaji mkuu and the same
 
Back
Top Bottom