Zitto Kabwe alikataa Ubalozi kadhalika Pius Ngw'andu na Rostam Aziz aliukataa Ubunge akauita ni Siasa Uchwara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Najikumbusha tu Watu waliowahi kuukataa Ubalozi na Waliowahi kuukataa Ubunge

Zitto Kabwe alikataa Ubalozi wa Ujerumani alioahidiwa na Waziri Membe

Pius Ngw'andu alikataa Ubalozi wa Japan akarudi nyumbani kugombea Ubunge

Mh Mwamasika aliukataa Ubunge akaenda kugombea Uaskofu KKKT

Rostam Aziz aliukataa Ubunge akauita ni Siasa Uchwara

Dr Slaa aliukataa Ubunge akaenda kugombea Urais wa JMT

Mlale Unono 😀😀😂🔥
 
Ujinga mtupu, balozi wanateuliwa na Rais, ni lini Membe alikuwa Rais?

Unakuwa terms za Dr Slaa kutokugombea ubunge na kukubali kuwa mgombea Urais wa Chadema? Chama kimlimpe mshahara wa kibunge.
 
Najikumbusha tu Watu waliowahi kuukataa Ubalozi na Waliowahi kuukataa Ubunge

Zitto Kabwe alikataa Ubalozi wa Ujerumani alioahidiwa na Waziri Membe

Pius Ngw'andu alikataa Ubalozi wa Japan akarudi nyumbani kugombea Ubunge

Mh Mwamasika aliukataa Ubunge akaenda kugombea Uaskofu KKKT

Rostam Aziz aliukataa Ubunge akauita ni Siasa Uchwara

Dr Slaa aliukataa Ubunge akaenda kugombea Urais wa JMT

Mlale Unono 😀😀😂🔥
Zito sio njaa kama babu Yako,Zito ana akili na future Sasa huyo Mzee ana future gani? The only heshima alikuwa nayo ni kuitwa Balozi na kavuliwa aendelee kuwa Dr Slaa msaliti wa Ndoa na Kanisa na Serikali 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom