Kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5, Ipi nzuri?

Kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5, Ipi nzuri?

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Kama kichwa kinavosadifu,naitaji kujua kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5 ipi ni nzuri zaidi?
NB: Kama zina ubora sawa toa vigezo,pia kama hauzijui vizuri usichangie chochote.
 
Katika matumizi ya simu kama simu zote ni simu ila mmi binafsi nitaisemea kidogo Tecno c5 ndio ambayo nilikutana nayo Kwenye kutumia. Tecno c5 ni cm nzuri kumuonekano, ni cm special kwa upigaji wa picha maana kuna vionjo au button kwaajili ya picha tuu
Ngoja wengine waje
 
Kama kichwa kinavosadifu,naitaji kujua kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5 ipi ni nzuri zaidi?
NB: Kama zina ubora sawa toa vigezo,pia kama hauzijui vizuri usichangie chochote.
C5 ni nzuri kwenye camera, pia kwenye internet ina uwezo wa 4G network, very fast, Ingia google ufanye comparison
 
Hzo zote takataka simu nzur ni techno C9, ndo mwsho mambo, usiendelee kuulza
 
Tecno c5 ni moja kati ya simu bora zilizowai kutolewa na tecno.
C5 ni bora kuzidi c8,j7,j5.
Simu bora zilizowai kutolewa na tecno ni phantom z min na tecno c5.
Hizo nyingine ni mabox tu.
 
Series zote za TECHNO BOOM J5-J8 it's the best, achana na TECHNO Cs versions zinasumbua sana betri
Nakubaliana na wewe ila nikupe mrejesho kidogo,J7 betri inakufa mapema sana,yangu nimeiweka kwenye kabati langu la kumbukumbu [emoji124]
 
Back
Top Bottom