Kazi gani hiyo wanayosema uwe hujawahi kusupp?Kama kwenye Supp hawawek chochote sasa huwa wanajuaje kuwa course fulan ulisapu kwenye interview!! maana kuna kaz zngne huwa wanatangaza kuwa uwe hujawah kusapu,sas watajuaje???
Degree with honour degree yenye heshima kwamba hujawai pata sup wala carryHakuna nyota ila hupati degree with honour.
With honour kivip
Nani alikudanganya?Ya uhadhiri wa vyuo vikuu
Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu.Anaeelewa kuhusu hli swa aje anitoe tongo tongo machon
Npo njia panda kujua ukwel juu ya hili.
Karibun wataalam
Ahsante sana mkuu kwa kunpa mwangaPAMBANA Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu.
Kwa uhadhiri wanatazama vigezo vyao, Mara zote Ni G.P.A
Kingine jifunze kuandika maneno yakamilike, ukizoea kuandika uandikavyo utadharaulika baadae .
Sup lazima iwe na star