Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

1st/2nd gen ya forester/imprezza/legacy/outback au ipi?hili ndilo lililokua swali mkuu.

Na ndio maana nimeshangaa kuona kama kuna subaru ambayo haina AWD.,mostly pre-1996 subaru ndo zilikua na 2WD then after ni AWD.

Na AWD hauhitaji ku-engage yenyewe ni full time ikihisi tu sehemu kuna uhitaji inafanya mambo yake chap.
Oooh! Sorry mkuu sikuwaza., unajua naandika kwa kuiba iba. Si Unajua kazini tena. Ni Subaru Forester. Halafu speaking of that, hata impreza Nimetumia. Nikiwa dogo, nilitumia gx 100 cheser nikauza nikanunua impreza nayo sikukaa nayo sana kama mwaka tu.
 
Hamna noma mkuu,naona gx 100 chaser/mark 2/cresta wadau walizivamia kwa kasi sana baadae wakazikimbia wakisema wese noma hahah wkt haili kivile.
 
Kwa kweli Sijaona kama inakula. Ile engine ya sijui beam 2000 ipo poa sana. Maana mpaka km 8 kwa lita safarini hadi 12. Kuna hizi gx 115 nazo zina hiyo engine. Very comfortable na mafuta ni wastan kwa ukubwa ule wa engine. Mm mpaka leo hizo gari nazipenda. Sema cheser zilikuwa zina tatizo za kukata ball joint baada ya mda. Sijui ka ni ilikuwa yangu tu au ndo tatizo lake
 
Nilishatumia verossa iliyokua na hio engine ya beams 2000 (1G-FE) ilikua super sana ile engine ni vile tu niliichoka gari nikaiuza lkn ile engine ni roho ya paka sana mkuu.,ilikua ikiwashwa Dar inazimiwa Mwz mambo ya kuchemsha sijui nini hakuna afu ni very smooth/no vibrations na kwny mbio ilikua fresh tu.

Kuna mhindi anayo hio gx-115 tangu 2008 mpk leo na anasema atauza magari yote lkn hilo haliuzi hahah.
 
Toyota pale walipatia sana Kwa matumizi na mazingira ya huku kwetu. Halafu mafundi wanayajua kweli, hata upate tatizo kwe vijiji atapatikana fundi wa kutatua. Kwa kweli kwa gari ya chini na mtu mwenye kipato cha kawaida gx 110/15 mark two Ile gari inamfaa sana. Sema kuna Ile belt ipo kwa ndani mbele kwenye engine ndo ya kuzingatia kila baada ya km 100,000.
 
Na bila yenye turbo ni kama unapoteza muda tu barabarani.
Kila mtu ana lake moyoni. Mimi yangu haina turbo ila sijawahi lia njiani bali kilio changu ni hizo fine tu. Ukiweka mguu unashangaa uko 120 140 huku ukila kiyoyozi. Kumbuka sipendi sauti kubwa (BigHorn)
 
Wewe unamiliki hiyo yenye turbo au nfo maneno ya mtaani? Turbo ya Forester inarunguka baada ya mtumiaji kufika 100km na bado hata ikifunguka haitumii mafuta mengi ni kawaida tu. Msimdanganye gari bzuri ni yenye turbo
Yangu baba la baba ni Chips kavu aka haina turbo
 
Back
Top Bottom