Kati ya Nissan Qashqai na KIA Sportage utaenda na ipi?

Habari za siku mkuu @kikabiki
Nimepitia reviews mtandaoni zinaonyesha Nissan Qashaqai ni bora kuliko kia sportage.

Nissan qashqai ilikuwa ni gari bora kwa 2023 lakini mapungufu makubwa ya Kia sportage ni pamoja na ubovu wa injini..

Ona hapa;
Some Kia Sportage models have been plagued with engine issues, including problems with repeated stalling, misfires, and even engine failure. Some of these issues have been linked to problems with excessive engine oil consumption, which is an issue that affects many four-cylinder
 
Toyota Vanguard,Rush hayo manissan sijui Kia utakuja kulalamika kwanini hukushauriwa
kikaniki sio mtoto mdogo, ni mtu mzima na anajielewa, kuchagua hayo ni mtu kutimiza shauku yake.

Sio kila anayenunua gari anataka usafiri tu bali wengine wanataka gari za sports au anavutiwa na lilivyo na utamu kuendesha.
Ufike wakati akili zenu zipate akili.

Kung'ang'abia toyota ni sababu za umasikini...wenye pesa hawawazi gari la kudumu milele, wanatumia mwaka mmoja...wanatupa kule
 
Uko sahihi
 
Habari za siku mkuu @kikabiki
Nimepitia reviews mtandaoni zinaonyesha Nissan Qashaqai ni bora kuliko kia sportage.

Nissan qashqai ilikuwa ni gari bora kwa 2023 lakini mapungufu makubwa ya Kia sportage ni pamoja na ubovu wa injini..

Ona hapa;
Some Kia Sportage models have been plagued with engine issues, including problems with repeated stalling, misfires, and even engine failure. Some of these issues have been linked to problems with excessive engine oil consumption, which is an issue that affects many four-cylinder
Asante sana Kiongozi Sega la asali
 
Achaneni na mawazo mgando, Rush ni gari ya kike haiwezi mikikimikiki ya kiumeni kama kwenda pori nk.

Qashkai/dualis zina tofauti gani na rush?!
Kama unataka gari ya kwenda chakA kaa humu. Gari ya kiume
990114d5-d1e7-4274-8a02-c66810cf385f.jpg
 
Ninataka kununua gari. Kichwani ladha 3 zinanijia. Nissan Qashqai Vs KIA Sportage Vs KIA Sorento. Kwa bei, yote yanafanana. Tsh 32m.

Utaenda na ipi?
Kama upo serious kwa hio pesa naweza kupa a far more better built car nayo ni mazda cx-5 hii imecombine sport and luxury bila kusahau lina muonekano mzuri sana. iko duty paid tayari ukilipa 32M nakupa file ukasajili tu.
 
kikaniki sio mtoto mdogo, ni mtu mzima na anajielewa, kuchagua hayo ni mtu kutimiza shauku yake.

Sio kila anayenunua gari anataka usafiri tu bali wengine wanataka gari za sports au anavutiwa na lilivyo na utamu kuendesha.
Ufike wakati akili zenu zipate akili.

Kung'ang'abia toyota ni sababu za umasikini...wenye pesa hawawazi gari la kudumu milele, wanatumia mwaka mmoja...wanatupa kule
Kinachosababisha kungangana na toyota ni umaskin kwel.watu barabaran wana gar mpaka unasema huyu wakat ananunua alikua anawaza nini. Hapa mjin ukitka kuuza gar kama sio toyota utauza bei ya kutupa
 
WEnye pesa hawajali hata kuuza, likichoka linawekwa pembeni, tatizo ni umasikini unatesa sana...hununui kitu kizuri unawaza gharama za matunzo na likichoka hutauza
 
Qashqai ndio Dualis, nadhani Qashqai ilipewa kwa European/American Market na Dualis ni kwa Asia market. Ni sawa na IST latest model, Asia ikaitwa IST na europe/America ikaitwa Town cruise.
 
Ninataka kununua gari. Kichwani ladha 3 zinanijia. Nissan Qashqai Vs KIA Sportage Vs KIA Sorento. Kwa bei, yote yanafanana. Tsh 32m.

Utaenda na ipi?
they are all junk cars... ila kila mmoja ana sifa zake.......ila kia zina muonekano mzuri kuliko nissan, ila KIA na mwenzake Hyundai wana changamoto ya quality ya injini so spea pia japo zapatikana kwa ku import.. kwa nissan qashqui ni nzuri pia ila kimuonekano KIA zipo njema...with nissan ukiweza itunza hasa giabox na injini kwa kuweka fluids original basi gari itadumu....usiwe tu mbahili wa ku mantain gari na pia kupata fuhdi proper wa kufanya kazi kwenye gari yako.
 
Back
Top Bottom