Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

Natumia Samsung Galaxy J5 Prime
Mpaka Sasa Hivi Iko Sawa Sawa Sijaona Tatizo Lolote
 
Kaka wewe ni zaidi ya engineer! Hii ni makala ya mwaka jana lakini naiona inaweza kudumu miaka 50 mbele. Thumb up brother.

The details are helpful and supportive.
 
it was supposed to be a thread
 
Nitarudi nikusome upya....madini sana.
 
Mkuu be blessed asee
 
Asante sana kiongozi kwa maelezo yako yaliyojaa madini.

Naomba kuuliza, hayo maelezo uliyoyatoa na hizi precautions ulizotushauri tuchukue mfano kwenye model number hizo sijui DS/F/FD...hizi ni kwa samsung tu au simu aina zote.
 
Duu wenyoko
 
Shukrani sana 🙏
 
Asante sana kiongozi kwa maelezo yako yaliyojaa madini.

Naomba kuuliza, hayo maelezo uliyoyatoa na hizi precautions ulizotushauri tuchukue mfano kwenye model number hizo sijui DS/F/FD...hizi ni kwa samsung tu au simu aina zote.
Hizi ni kwa Samsung tuu kiongozi, kila kampuni ina model numbers zake kulingana na soko.
 
Samsung j series zilishatoka kwenye soko, na saivi zipo m series kwa ajili ya low end consumers, A series kwa ajili ya midrange consumers na S series zimekuwa kwa ajili ya high end consumers
Unasema M series ni low end!!!!? Unaijua M51 wewe!?
 
Kaka naomba nisaodie, nlinunua simu SAMSUNG A20s, ila nashindwa kuirestart nianze upya kila kitu, naomba nisaidie namna ya kufanya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…