Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Ni mwizi wa kawe na mwenge🤣Huyo Onana ni nani huko Dar?
Mfanyakazi hewa wa Simba SC.Huyo Onana ni nani huko Dar?
Wa simba scUnaulizia onana wa manjesta unitedi au wa simba?
🤣🤣🤣Kabisa mule simba wametapeliwa hamna mchezaji muleOnana mlegevu utadhani anashindia juisi ya mlenda
Kumbe🤣🤣🤣Etoo amepiga simu klabuni na kudai Onana ni hatari kuliko alivyokua yeye akicheza, tatizo kocha wenu uwa amwanzishi mwanzo.
Etoo amepiga simu klabuni na kudai Onana ni hatari kuliko alivyokua yeye akicheza, tatizo kocha wenu uwa amwanzishi mwanzo.





Ni mwizi yule😂somba somba onana amekuja kusomba maokoto ya simba![]()