Kati ya nyama ya mbuzi, ng'ombe, kuku na ' kitimoto ', ipi ni nyama pendwa sana duniani kote ?

Inategemeana na mapishi!

Niliwahi kula tofari la nyama ya ng'ombe ya kusagwa ni tamu sana kuliko nyama nyingine nilivyohisi wakati nikila siku hiyo.

Haya ma nyamanyama nadhani ni ujuzi wa mapishi na maandalizi tu. Hakuna iliyotamu kuliko nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…