The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,001
- 13,534
Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa.
Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu.
Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?