kati ya mume na mke nani muongo

kati ya mume na mke nani muongo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
251107_460375544051698_986537948_n.jpg
 
Hapo bila bila ... cheni bandia pesa bandia
 
mke, maana kweli mume kashikwa kituoni.....
 
shetani ...yaani we na elimu yako unafikiri mwanaume ama wa kike ndie mzinzi uzinzi unaanza kwa shetan mpwa
 
Mke kwa sababu kahusisha nyumba ya Ibada na mungu wake.
 
Back
Top Bottom