Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi

Utachagua kipi mdau?
 
20 millions, maisha ya mshahara magumuu..
 
Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi

Utachagua kipi mdau?
Mkuu kuna mtu uliwahi kumuona ana 20m halafu anatafuta ajira ya 700k kwa mwezi?
 
Usiende kujenga kwa hiyo pesa.
Inatakiwa kuendeleza biashara siyo kuanza biashara.
Kama ndo kwanza unaanza biashara sikushauri kuacha kazi maana utakula hiyo hiyo pesa kama una familia inakutegemwa kula na kodi umizankuchwa zaidi.
Ila kama ukiumiza kichwa hiyo hela inatosha kukutoa ktk umasikini wa kawaida.
 
Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi

Utachagua kipi mdau?
Ukiwa na akili kuwekeza haswa ufugaji au biashara ....hutajuta 700k utatumwa maisha yako kudhalilishwa kila siku....ukiweza kufuga kiti motob au kuku 800 wa mayai na banda lake unatoboaaa.....kama una 20m njoo nikuandikie abc hadi z utoboee uwe na ekari hata 1 tu
 
Binafsi nipe 20m, sema nikutumie acc number chap. Hiyo 20m kwa mtu aliyejiwekeza na anajua anachofanya itampa pesa.
 
Yule mnyambo wa Kyelwa ni nan bro
Ni Mimi
Nimerudi ID yangu ya Zamani
Baada ya kupokea PM za vitisho, niliogopa wasiojulikana wasinipoteze, Nina watoto wadogo wananitegemea
Sasa hasira zimewapoa nimerejea ID yangu na Sasa siandiki sana kukwaza upande wowote iwe siasa au sports
 
Back
Top Bottom