GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,895
- 6,663
Kuongoza anaongoza yoyote alimradi awe na sifa za uongozi na ajue kutenda ipasavyo ili kuleta positive impact kwenye jamii anayoiongoza.kujali ni nani na anatokea wapi ni ubaguzi.Me kura yangu ingeenda kwa Mkaburu!
Kwa nini mkuu?Me kura yangu ingeenda kwa Mkaburu!
ANC wametuangusha sana..Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:
1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani
2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe
3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua
4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu
5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao
Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
Mkuu, usisahau na ya Jacob Zuma.ANC wametuangusha sana..
Ramaposa anaficha hela shambani.....afu kawa kibaraka wa waarabu na warusi,,,,baada ya kukataa kua kibaraka wa wamarekani 🤣🤣🤣
Mkuu dhambi ya makaburu ilikua ubaguzi tu...Mkuu, usisahau na ya Jacob Zuma.
Hivi na Makaburu nao walikuwa na kadhfa za kuitafuna nchi?
Nchi ibaki kwa wenye nchi na si vinginevyoKura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:
1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani
2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe
3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua
4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu
5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao
Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
Lakini na hao hao weusi. Nakua Afrika Kusini kuna Wazungu wachache walio bungeni, vipi kule Zimbabwe?Mkuu dhambi ya makaburu ilikua ubaguzi tu...
Hata Zanu PF wameharibu Zimbabwe
Kwani wenye nchi ni nani? Ni sawa "Wazulu" waliwatangulia Makaburu kuingia South Africa, lakini wote ni "wahamiaji".Nchi ibaki kwa wenye nchi na si vinginevyo
✅Tunaamini katika miujiza na si kufanya kazi kwa bidii na maarifa mengi vizazi na vizazi kujenga mifumo na misingi imara itakayofanya vizazi na vizazi viishi kwa amani na utulivu mwingi.
✅🙏Unauliza swali wakati jibu liko wazi.
CCM imeharibu TanzaniaMkuu dhambi ya makaburu ilikua ubaguzi tu...
Hata Zanu PF wameharibu Zimbabwe