mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,254
- 4,466
Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu
Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu
Tutawapuuza na tumewapuuza
Hamuwezi kutuingiza kwenye vita vya kijinga ilihali nyinyi mkitafuna swadaka zetu
Uchochezi uliopo leo ni wa kipuuzi sana na kila mtu anajua kwamba, hakuna ulazima wa nyinyi kulumbana zaidi ya kutumia hekima zenu mkaitana ili kuyajenga yakaisha na serikali ikatumia mbinu zake kuyajenga na wananchi wake ili yaishe
Unapowatukana na kuwasema TEC, Je, kuna mahali wewe wamekutukana au kukusema?
Huu sio uchonganishi kwa waumini wenu na Watanzania kwa ujumla?
Ni lini mmeacha kukaa vikao vya pamoja ili kuyajenga kama viongozi wa dini?
Mungu mnayetuhubiria, si mnatwambia ni mwenye kupenda Amani kwa watu wote?
Mbona mnaanza kuchokonoana?
Hapo kuna Mungu tena hapo au njaa zenu?
Hamtatuingiza kwenye mitego yenu isiyo na faida wala maana
Mambo yenu myamalize nyinyi kwa nyinyi
Na Serikali imalize mambo yake kwa namna iwezavyo ili nchi yetu iwe ni nchi ya haki, amani na utulivu!