Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

Hiyo inafurahisha lakini swala si hilo.Ukitaka kulinganisha M4C na CCM chukuwa watu kumi pale ulipo,nina maana sehemu yoyote ulipo hata kama ni kazini,shambani au kijiweni. Halafu ongea nao maswala kama kupanda kwa gharama za maisha(mkate,maharage,michele,sukari etc),kupelekewa pembejeo hewa,kulipia umeme wa TANESCO ambao mikataba yake ni ya kifisadi,nk. Halafu baada ya hapo waulize wangapi wanaikubali Chadema M4C na CCM Kujivua Gamba. Matokeo ni ya kustajabisha(stunning). Yaani uwiano ni 10:0 au 10:1, hapo unapata picha ya uwiano kati ya M4C na CCM kule Jangwani
 
Wakati mwingine CDM hamuamini kwa kusema uongo... picha za matukio ya CCM hizi hapa... angalia jaji mwenyewe.
Mkuu Kasheshe kuna thread inasema Michuzi kachakachua hizo picha.
Inawezekana CDM walikuwa wengi manake siku hiyo Kimara yote haikuwa na watu wote waliishia Jangwani. Baa nyingi na sehemu za kupata kiti... zilikuwa zimefungwa. Ndugu zetu walifunga na maduka wakajitosa jangwani.
 
Last edited by a moderator:
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano. Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee. Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
hata walipokuja Arumeru walikejeli vijana; eti hawapigi kura, lakini waliisoma namba. mi nakuambia wabaki na wazee wao mabalozi tu but ikulu tunaikodolea macho. MIKUTANO YA CCM= NA VIKAO ; UKILINGANISHA NA MIKUTANO YA CHADEMA.
 
Mnatengeneza uongo kisha mnaanza kuuamini kama ni ukweli. MAJUHA.
 
Mkuu Kasheshe kuna thread inasema Michuzi kachakachua hizo picha.
Inawezekana CDM walikuwa wengi manake siku hiyo Kimara yote haikuwa na watu wote waliishia Jangwani. Baa nyingi na sehemu za kupata kiti... zilikuwa zimefungwa. Ndugu zetu walifunga na maduka wakajitosa jangwani.

Mkuu Kimbunga, nadhani umesahau tu inabidi tukukumbushe, nafikili inbidi ujiulize wengi wa wenye maduka(wafanyabiashara), baa na washona viatu ni watu wa sehemu gani ya tanzania. Ukishapata jibu jiulize wengi wao ni mashabiki wa chamagani? baada ya hapo uangalie kama ni sahihi kwa watu hawa kugeneralize kuwa CDM ilikuwa na watu wengi kuliko CCM
 
Last edited by a moderator:
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.

Acha uwongo wewe walokesha Ubungo, Mwanza nk kulinda kura ni kina nani? Kuwaleta wale wazee kwnye mkutano wenu kunasaidia ni nini si kama kuwazihaki tu! Hao mmewafanya kandambili heshima yake huishi nje ya mlango, pensheni za zenyewe mgogoro pamoja na huduma nyinginezo mfano afya hamna kitu.
 
attachment.php



My take:
Hawa wa Chadema walikuja kwa MIGUU, uku wa CCM wakiletwa na MALORI, MAFUSO NA MABASI, Je NI KINA NANI WALIOUVAA UZALENDO?

hapa vipi

251965_430302963657789_973699059_n.jpg

 
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
upo dunia gani wewe?? rejea uchaguzi mdogo Arumeru vijana walionyesha hamasa ya ajabu kupiga kura! saa kumi za usiku kuamkia siku ya uchaguzi vijana walikuwa nje ya vituo wakisubiri vifunguliwe! M4C infanya kazi nzuri!!
 
Wakati mwingine CDM hamuamini kwa kusema uongo... picha za matukio ya CCM hizi hapa... angalia jaji mwenyewe.

Duh! Aisee umewaumbua vibaya! Halafu picha yenyewe kumbe ni ya saa 7 mchana!
Hata hivo sishobokei nyomi kwani hata wanamuziki wanajaza nyomi za hatari na si wanasiasa!
Em tuachane na ushabiki nani kajaza zaid si kipimo cha kukubalika na tuangalie hoja zenye mashiko.
1. Kadi za upinzani zilizokusanywa
2. Mada zilivokidhi matarajio ya watu etc!

R.I.P Bob Makani
 
Ukimuona kijana anafuata nyuma ya makario ya magamba ujue njaa inamsumbua na hana uwezo wa kusimama mwenyewe katika maisha yake," vijana tumbuke kuwa sisi ndo chachu ya maendeleo"
 
[Kuwabeba vijana masikini kwenye malori bila kuweka mikakati dhabiti ya kuwatoa kwenye unasikini ni sawa kumuonyesha mwenye njaa chakula bila kumpa ale :angry: ]
 
hapa vipi

251965_430302963657789_973699059_n.jpg

Huyu mzee Wasira ni mwizi mkubwa ambaye tabia yake ya wizi imeteketeza sekta kubwa ya pamba kwa ajili ya makampuni yake ambayo yameharibu bei ya pamba na kuendelea kuwapa umaskini wananchi wanaotegemea zao hilo! waulize wapiga kura wake wanajua na ndiyo maana juzu juzi walimzomea kwenye mkutano wake! Hafai kabisa huyu babu na CCM wanamtumia kwa vile anajua unazi!!!!
 
binafsi nilikunwa na maelezo ya dr mwakyembe lakini wengine mhhhhh,any way hata mwanao anajua kati ya CDM na CCM nani zaidi.je mmejiuliza na gharama zilizotumika jana kugharamia usafiri na chakula?
 
Cdm wanatisha magamba hawataki tu kukubali kwa kinywa ila moyoni washaona hali yao kiutawala ifikapo 2015 kuwa mashakani. Keep up cdm. Tupo pamoja daima. Pia pole kwa wana cdm wote kwa kuondokewa na mwenyekiti mstaafu. Mungu amlaze mahala pema peponi amina
 
Back
Top Bottom