briophyta plantae
Member
- Feb 18, 2017
- 63
- 62
Kumekuwa na utata mwingi kuhusu siku maalum hasa kwa ibada pale unapokutana na watu wanaosema sabato ni Jumapili na wengine wakisema ni Jumamosi na wote wakiwa sababu zinazowafanya waamini katika hizo siku.
Pia masuala mbali mbali ikiwemo sikukuu zetu (mfano sikukuu ya Christmas ambayo huwa tunasema ni siku ya kuzaliwa Yesu Kristo na ndio siku wakristo tulipoanza kuhesabu mwaka).
Kama ilikuwa ndio siku ya kwanza inakuwaje Christmas isiwe tarehe moja bali 25? Kumekuwa na utata mwingi katika mpangilio wa kikalenda unaofanya biblia ni kalenda yetu kukinzana kwenye vitu vingi.
Msaada kwa mwenye ujuzi juu ya haya mambo.