PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,558
- 46,766
Samsung wanaongoza kimauzo duniani ila kuanzia mwaka jana mara baada ya Huawei kuja na P20 pro hali ya kibiashara kwa upande wa Huawei yameongezeka ikishika nafasi ya pili baada ya sumsung...Msifanajishe SAMSUNG NA VITU VYA KIJINGA..
Acha tuone mwaka huu kati ya huawei P30 vs samsung S10+ na kwa taarifa yako ni kuwa P30pro inaongoza kwenye pe-orders dhidi simu S10.
Angalia hizi picha utajionea utofauti uliopo kati na utajua kwa nini Huawei mwaka huu watauza sana simu zao