Kati ya hizi nzuri ipi?

Hata radiography utakutana na watoto.
mwambie aende midwifery, kule atashinda sana na wanawake wenzake waliotoka kujifungua....automatically ataacha tabia ya kufinya watoto wa wenzake.

lkn kwa ushauri kulingana na soko la hao watu, Radiology ipo vizuri na haitamchosha sana ukilinganisha na nursing & midwifery.
 
Fanya kile roho inapenda.nursing,midwifery na radiology zote kazi zipo nje nje.ila mshahara ni tofauti.ila tambua unesi na ukunga yataka moyo na uvumilivu na unatakakiwa uwe mpole na mpenda amani na hofu ya mungu kama una vitu hivyo utafanya kazi kwa kuipenda.nina miaka 6 kwenye wizara ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…