my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Jukwaa la elim liko wapi?Hili sio jukwaa la elimu tafadhali sana
Asante kwa ushauri wako 🙏🙏Kizuri kile ukipendacho wewe
Sio lazima kila mtu apende unachokipenda weweJaribisha kwanza kama unashika mimba, maana huwezi tu ukawa hupendi watoto
Ungetambua kwanza Hii thread yako inafaa jukwaa gani..Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
Jukwaa la elim liko wapi?
Basi kama ndio hivyo hata hapa inafaa kuwepoLipo kwenye elimu
Eeeeee inafaa jukwaa gani?Ungetambua kwanza Hii thread yako inafaa jukwaa gani..
Nashukuru kwa ushauri wako 🙏Fanya unachokipenda wewe,usipangiwe maisha na mtu.
Umepotea njia mzee. Hii ni njia kuu kwenda POSTA.Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
Sio lazima jukwaa la elimu ukisoma alipopostia hajakosea soma vizuri kuwa hili jukwaa ni la ushauri na pia wachumba na mambo kadhalika .Hili sio jukwaa la elimu tafadhali sana
Basi kama ndio hivyo hata hapa inafaa kuwepo