MSEZA MKULU JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 3,882 Reaction score 5,901 Apr 15, 2016 Thread starter #21 longi mapexa said: tatizo watu wanao fatilia movie za bollywood hapa ni wachache ila mimi naona chaguo langu ni Amrish puri apiga mpaka wajane si mchezo Click to expand... Puri roho mbaya,ukatili,uonevu na mikwara ya hali ya juu. ila sasa akipatiwa huwa harushi hata ngumi, oga saana. Ila carlos hadi anakwenda kaburini humuamini anakubadilikia any time.
longi mapexa said: tatizo watu wanao fatilia movie za bollywood hapa ni wachache ila mimi naona chaguo langu ni Amrish puri apiga mpaka wajane si mchezo Click to expand... Puri roho mbaya,ukatili,uonevu na mikwara ya hali ya juu. ila sasa akipatiwa huwa harushi hata ngumi, oga saana. Ila carlos hadi anakwenda kaburini humuamini anakubadilikia any time.
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Apr 15, 2016 #22 Bolo