Kati ya hawa nani msahaulifu zaidi?

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
195
Kati ya hawa nani msahaulifu
zaidi???????????????? 1: alikuwa anakula huku anagonga
gonga meza mara akaacha na kuitikia
"ingia mlango upo wazi PITA TU" 2: alikuwa anacheka akatokwa na
machozi ya furaha lakini ghafla akasahau
na kujiuliza alikuwa anacheka au analia 3: alikuwa anapandisha ngazi mara simu
ikaita akasimama na kupokea lakini
alipomaliza kuongea na simu akawa
anajiuliza kama alikuwa anapanda au
anashuka.........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom