Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,007
Wadau nadhan kichwa cha habari kinajieleza chenyewe,
Nataka kujua kati ya hizo simu mbili ipi simu kali kuanzia kwenye utunzaji wa moto na specification zake
Kuna samsung m51 nimeiona nimeona ina kama 7000 mah na google pixel moja nimeisahau ila ina internal gb 32 na Ram 4
Nikasema ngoja nije kwenu wajuz ili tupeana utaalam wa nn cha kufanya na kipi ni kipi.
Naomba kuwasilisha.