Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
363
500
Wadau nadhan kichwa cha habari kinajieleza chenyewe,

Nataka kujua kati ya hizo simu mbili ipi simu kali kuanzia kwenye utunzaji wa moto na specification zake

Kuna samsung m51 nimeiona nimeona ina kama 7000 mah na google pixel moja nimeisahau ila ina internal gb 32 na Ram 4

Nikasema ngoja nije kwenu wajuz ili tupeana utaalam wa nn cha kufanya na kipi ni kipi.

Naomba kuwasilisha.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
971
1,000
Inategemea unalinganisha Pixel ipi na Samsung ipi. Kwa huo mfano wako nadhani ni Google Pixel 1 hyo ndio Pixel pekee yenye 32GB. Hii ni ya zamani kidogo. Ina camera nzuri kidogo kuliko hyo Samsung M51 sema ni camera moja tu. Pia hyo Pixel itakua na build quality nzuri lakini kila kitu kingine ni bora kwenye hyo Samsung.

Kiufupi hzo simu mbili hazifai kulinganishwa sababu zipo kwenye makundi na bei tofaut kabisa. Hyo Pixel unayoongelea kwa sasa unaweza ipata hadi kwa 250,000 wakati hyo Samsung M51 ni 900k mpaka 1.3M ni kundi tofauti kabisa
 
Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
363
500
shukran sana kaka

Kwa hio unataka kunambia google pixel yenye level ya gb 128 yaweza kuwa kali kuliko samsung?

Mana kama hio unadai ina camera kali kuliko hii samsungm51 ndio kusema google pixel ya kiwango cha juu kama ya m 1 moja na ushee inaweza kuwa kali kuliko samsung?
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
284
500
shukran sn kaka

Kwa hio unataka kunambia google pixel yenye level ya gb 128 yaweza kuwa kali kuliko samsung?..
Pixel iko vizur kwa Camera na software yake iko unbelievable kwenye processing of images na functionality nyingine zaid ukilinganisha Samsung wana hardware nzuri.

software well not so much, though zote ni android inategemea unalinganisha Na Samsung ipi well kama Note au S series chukua flagship ya Samsung over pixel.
 
Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
363
500
Pixel iko vizur kwa Camera na software yake iko unbelievable kwenye processing of images na functionality nyingine zaid ukilinganisha Samsung wana hardware nzur...software well not so much, though zote ni android inategemea unalinganisha Na Samsung ipi well kama Note au S series chukua flagship ya Samsung over pixel
shukrans sn kaka,ahsante sn
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,006
2,000

Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,006
2,000
Mkuu kama wadau wengine walivyochangia huwezi linganisha tu brand kwa hivi, zipo Samsung Nyingi nzuri na mbaya vile vile zipo pixel nyingi nzuri na mbaya, vyema upate specific model.

Na simu nyingi za pixel ni upper midrange ama high end, hawana low end na midrange za kawaida, pia bei zao zimesimama.
 
Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
363
500
Mkuu kama wadau wengine walivyochangia huwezi linganisha tu brand kwa hivi, zipo Samsung Nyingi nzuri na mbaya vile vile zipo pixel nyingi nzuri na mbaya, vyema upate specific model.

Na simu nyingi za pixel ni upper midrange ama high end, hawana low end na midrange za kawaida, pia bei zao zimesimama.
shukran sn nitazingatia ushaur wako,ahsante sn
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
284
500
eti shuka, sema nn pixel 5 iko atleast pale na iPhone inategemea ni ipi kama 11pro max iko jiwe kwenye charge inakaaa kuliko samsheeps nyingi
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
284
500
Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.

Haiko feature rich iko JUNK ndg yang, unapata both Samsung store na google playstore za nn hizo plus kunakuwa na installed crazy apps
Iko well known kwamba pixel software is better than any android out there
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,006
2,000
Haiko feature rich iko JUNK ndg yang, unapata both Samsung store na google playstore za nn hizo plus kunakuwa na installed crazy apps
Iko well known kwamba pixel software is better than any android out there
Hio ni personal preference yako ila kampuni karibia zote kubwa zime abandon stock, wapo wanaopenda sikatai ila kuiita best hapana, nitakupa mfano.
1. Samsung flagship zao walikuwa wanakupa option ya touchwiz yaani skin yao ama stock (walikuwa wanaita play version) baadae samsung ameikacha stock. hapa side to side s4 ya touchwiz na s4 yenye stock enzi zake
googleplayeditionlead04.jpg

2.Xiaomi alikuwa simu zake anazouza ulaya zinakuja na stock android, ziliita MI Ax, kama Mi A2, A3 etc rebrabded note series zenye stock, ila siku hizi na yeye ameikacha stock,

3. motorola alikua na one series na yeye ameikacha etc

aliebakia sasa hivi na stock android ni HMD global na Nokia zake tu.

na samsung One ui ni superior sio kwa stock tu bali pengine ui zote linapokuja suala la features., mfano
-hio store unayosema ni junk ina exclusive apps ambazo huzipati popote zaidi ya Samsung mfano clip studio paint, kwa ajili ya artist moja ya program nzuri zaidi kwa wachoraji
202008051704_3-350x0.jpg

program nyingi za kuedit picha/kuchora za android ni basic unapata wapi app kali kama hii?
-samsung pia wana feature zao wenyewe kama secure folder ambayo ni simu ndani ya simu, etc

pia kuthibitisha zaidi for years kuna mamia ya features samsung anaanzisha then Google wanacopy kwenye android vitu kama split multitasking, always on screen, ku hide apps, home screen customization etc.
 
shukran sn kaka,ahsante sn
 
Macnikia

Member
Oct 19, 2017
25
45
Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.
Chief samahani naongezea swali jipya,nina budget ya kununua kati ya Samsung s10+,xiaomi mi note 10 au oppo reno 5.Nimeshindwa kung'amua kati ya hizo ipi inaweza kuwa feautures nzuri generally kupita zingine?.au kama kuna nyingine nje ya hizo nzuri kwa budget hyo.
Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,006
2,000
Chief samahani naongezea swali jipya,nina budget ya kununua kati ya Samsung s10+,xiaomi mi note 10 au oppo reno 5.Nimeshindwa kung'amua kati ya hizo ipi inaweza kuwa feautures nzuri generally kupita zingine?.au kama kuna nyingine nje ya hizo nzuri kwa budget hyo.
Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa
Kati ya hizi 3 by far s10+ ni simu nzuri zaidi. Budget around ngapi?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,006
2,000
Mil 1.2 chief,shukrani kwa ushauri
Kwa 1.2m tafuta flagship za karibuni mkuu,

Angalia simu kama Xiaomi redmi K40, Xiaomi Poco F3, Motorola G100 etc hizi ni za mwaka huu,

Samsung S20FE, OnePlus 8, LG v60 etc za mwaka jana.

Mfano hio poco F3 ni $350 tu.

Simu kwako wewe unaangalia nini na nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom